Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
De Gea hatakiwi kubaki kwa sababu ya mindset ya mashabiki wengi haitawaingia akilini kumuona akikaa benchi kama namba 2.Mimi nasubiri tu kuona kocha atafanya nini, kazi yangu kushabikia tu. Nimeona pia watu wengi hawataki hata idea ya De Gea kubaki na Onana kuja yani wao wanaamini akiwepo Onana tumemaliza na hatuhitaji backup nzuri.
Muda ndiyo hakimu.
Kama backup nafuu wasimuuze Henderson ama wamsajili Pickford ila kwa De Gea hapana itasababisha kuibuke mijadala ya kipuuzi sana.