Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,638
- 11,122
Ujio wa kipa mpya ni muhimu. Maamuzi ya kocha ndiyo yatamaliza utata wote.Wameziweka kwa ushahidi wa wanaobisha, kuna saves nyingi De Gea anazifanya kufuta makosa aliyofanya dk 1 nyuma.
Nenda kaangalie kama akina Becker na Ederson wana mistakes za kijinga