Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Inaogopesha sana ila hamna namna kikombe hiki cha glazers ikiwezekana kituepuke wallahi.
Nyie ni nyuki wa mashineni na wake zetu halali.Kuna watu hamtaleta timu uwanjani msimu ujao View attachment 2672600
Jana mida ya saa 9 mchana kwa saa za Marekani kulikuwa na Annual General Meeting ya Shareholders japo hii haihusiani na timu kuuzwa ila imebeba hatma ya timu.Inaogopesha sana ila hamna namna kikombe hiki cha grazzers ikiwezekana kituepuke wallahi.
Wacha tusubiri.Jana mida ya saa 9 mchana kwa saa za Marekani kulikuwa na Annual General Meeting ya Shareholders japo hii haihusiani na timu kuuzwa ila imebeba hatma ya timu.
Yawezekana katika mkutano huo Glazers wameamua waendelee kubaki na kufanya uchaguzi wa bodi ya wakurugenzi ama wametangaza kukubali kupokea bid toka kwa waliyemchagua wao.
Kesho inatoka Annual Report baada ya hapo ndio tutajua mbivu na mbichi so tunaweza kufurahi ama tukalia sana.
Glazer shikilia bomba usikubali kuachia mwanangu wa faida.

Nilisema hili tangu msimu ule tunataka kumsajili Sancho kwa dau la 100, Ole angecheza karata zake vizuri akamhamishia wing ya kulia tu.Huyu mwamba anafaa zaidi kuchezeshwa winga kuliko RB.
Jinga hiloSasa Degea anatuma tuma viemoji huko Twitter vya Nini?
Asepe
Certified bottlersMsimu ujao ni msimu wa mateso, wajiandaeView attachment 2672597
Kwamba bisaka apige DM? Mna utani sio bureNilisema hili tangu msimu ule tunataka kumsajili Sancho kwa dau la 100, Ole angecheza karata zake vizuri akamhamishia wing ya kulia tu.
Bado Ten Hag hajachelewa amhamishe Bissaka kuwa Defensive midfield Dalot wing ya kulia halafu atafute beki wa kulia sasa.
Aachane na kusubiri hela Glazers hawana hela hao.
Bissaka kwenye kikosi chetu ni press resistant kuliko wachezaji wetu wote.Kwamba bisaka apige DM? Mna utani sio bure
Bissaka hata wakiamua kumchezesha CB naamini ataperform vizuri sana na kutusahaulisha maumivu tuliyopitia kutoka kwa Maguire.Nilisema hili tangu msimu ule tunataka kumsajili Sancho kwa dau la 100, Ole angecheza karata zake vizuri akamhamishia wing ya kulia tu.
Bado Ten Hag hajachelewa amhamishe Bissaka kuwa Defensive midfield Dalot wing ya kulia halafu atafute beki wa kulia sasa.
Aachane na kusubiri hela Glazers hawana hela hao.
Kwa namna Bissaka ni mchezaji perfect kwa mahitaji ya Ten Hag ndiyo maana baada ya kuanza kumtumia Dalot akawa second choice.Bissaka hata wakiamua kumchezesha CB naamini ataperform vizuri sana na kutusahaulisha maumivu tuliyopitia kutoka kwa Maguire.
Bissaka namkubali sana anaweza kua press resistant mzuri kuliko wachezaji wetu wote, ila kama unamfatilia vizuri kwenye kutoa pasi hua anazingua sana, pasi zake nyingi hua zinaishia kwa opponent's.Kwa namna Bissaka ni mchezaji perfect kwa mahitaji ya Ten Hag ndiyo maana baada ya kuanza kumtumia Dalot akawa second choice.