Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
EeehSina imani na Onana kuwa kipa namba moja kiukweli labda aje awe chaguo la pili
Huwa namuona kama John Mwanda tu
EeehSina imani na Onana kuwa kipa namba moja kiukweli labda aje awe chaguo la pili
Huwa namuona kama John Mwanda tu
Tupo wengi. Pale hamna kipa ila watu wabishi kwasababu ya ile fainali tu.Sina imani na Onana kuwa kipa namba moja kiukweli labda aje awe chaguo la pili
Huwa namuona kama John Mwanda tu
Acha ujinga kigezo cha kuwa namba 1 ni kipi?Sina imani na Onana kuwa kipa namba moja kiukweli labda aje awe chaguo la pili
Huwa namuona kama John Mwanda tu
Onana watu wengi wamemjulia fainali ya UCL ila amekuwa bora kitambo tangu akiwa Ajax tunaoangalia Eredivisie Fox Sports tunaelewa japo hatukumuweka akilini wala hatukutegemea siku moja atahusishwa nasi ukizingatia wakati huo tulikuwa addicted na vitu vya De Gea.Tupo wengi. Pale hamna kipa ila watu wabishi kwasababu ya ile fainali tu.
Hata Uzoho aliwahi kucheza mechi yake vizuri sana pale OT na alikuwa ni backup GK wa Omonia.
Onana ukitoa pasi zake zile anakosa vitu vingi vya kumfanya kuwa kipa bora.

Aina noma muda utaongeaOnana watu wengi wamemjulia fainali ya UCL ila amekuwa bora kitambo tangu akiwa Ajax tunaoangalia Eredivisie Fox Sports tunaelewa japo hatukumuweka akilini wala hatukutegemea siku moja atahusishwa nasi ukizingatia wakati huo tulikuwa addicted na vitu vya De Gea.
Mbali na ligi ya England ligi nyingi watu hawafuatilii sana hasa hizo Uholanzi na Italy sasa wangemjua vipi?
Unasema mbali na pasi zake anakosa vitu vingi vya kuwa kipa bora hebu vitaje,najua saves lazima ziwemo ndio kitu cha kwanza hicho anacho pia.Hebu leta vingine hapa ambavyo hana
Hebu nenda kaangalie skills zake ana kila kitu ama mnaona kisa Mwafrika
Kingine haruhusu bao 4-7 hovyo kama kipa wetu bora![]()

Kocha wako anahitaji keeper ambaye yupo vizuri with his Feet.Na Onana kwa sasa ni Best keeper in the World with his Feet.Tupo wengi. Pale hamna kipa ila watu wabishi kwasababu ya ile fainali tu.
Hata Uzoho aliwahi kucheza mechi yake vizuri sana pale OT na alikuwa ni backup GK wa Omonia.
Onana ukitoa pasi zake zile anakosa vitu vingi vya kumfanya kuwa kipa bora.
Ni ngumu sana kumtoa De Gea kwenye fikra za wana United wengi ndio maana nyuma hapa tulimuona kipa bora Duniani.Kocha wako anahitaji keeper ambaye yupo vizuri with his Feet.Na Onana kwa sasa ni Best keeper in the World with his Feet.
Hata mm nataka kujua zaidi kuhusu Onana ukitoa ile fainalTupo wengi. Pale hamna kipa ila watu wabishi kwasababu ya ile fainali tu.
Hata Uzoho aliwahi kucheza mechi yake vizuri sana pale OT na alikuwa ni backup GK wa Omonia.
Onana ukitoa pasi zake zile anakosa vitu vingi vya kumfanya kuwa kipa bora.
Taratibu ndugu, wengi Wanataka kumjua ili wasilaumiane, Degea na ujinga wake wote , ana mazuri yake yaliyoiweka man u MjiniOnana watu wengi wamemjulia fainali ya UCL ila amekuwa bora kitambo tangu akiwa Ajax tunaoangalia Eredivisie Fox Sports tunaelewa japo hatukumuweka akilini wala hatukutegemea siku moja atahusishwa nasi ukizingatia wakati huo tulikuwa addicted na vitu vya De Gea.
Mbali na ligi ya England ligi nyingi watu hawafuatilii sana hasa hizo Uholanzi na Italy sasa wangemjua vipi?
Unasema mbali na pasi zake anakosa vitu vingi vya kuwa kipa bora hebu vitaje,najua saves lazima ziwemo ndio kitu cha kwanza hicho anacho pia.Hebu leta vingine hapa ambavyo hana
Hebu nenda kaangalie skills zake ana kila kitu ama mnaona kisa Mwafrika
Kingine haruhusu bao 4-7 hovyo kama kipa wetu bora![]()
Maana Kama kweli 10hag anaenda na onana Basi ahakikishe anagusa na engo nyingine kwa kuweka watu sahihi,isije kuwa Onana anacheza bado na mabeki ambao wachomaji au anapiga pass zake viungo wanaporwaAina noma muda utaongea
Hiyo sekta ya kushambuliwa kama nyuki inakuwa inaashiria timu bado mbovu ina viungo wasiojua kucontrol mchezo kuna muda inatokea vitu vipo nje ya uwezo wa kipa ndio tunapigwa zile 4 4 hata 6 kabisa.Taratibu ndugu, wengi Wanataka kumjua ili wasilaumiane, Degea na ujinga wake wote , ana mazuri yake yaliyoiweka man u Mjini
Tusitegemee man u gafla itaanza possession football, je ikianza pitia Kashi Kashi zile Degea alikuwa anaonekana shujaa je Onana atazimudu
Watu wanajiuliza maswali engo hiyo
Wengi onana hawajui kiundan lazima wahoji isije baadae ikaonekana Bora Degea
Hiyo ndio sekta nyingine sina shaka na Martinez kwa hapo ila fikra zangu kwa Varane pia na pancha zake,kocha alimtaka Kim Min Jae yupo vizuri hilo eneo bahati mbaya tumemkosa tutaona atamchukua nani,Lindelof yupo vyema kwenye passing ila bado simuamini asilimia zote.Maana Kama kweli 10hag anaenda na onana Basi ahakikishe anagusa na engo nyingine kwa kuweka watu sahihi,isije kuwa Onana anacheza bado na mabeki ambao wachomaji au anapiga pass zake viungo wanaporwa
Ili umfaidi onana acheze na backline isiyo na uwoga wa kupiga pass ,viungo pia wasiwe waoga kupiga pass ,
Uchezaji wa onana Ni similar na Djigui Diara
Baleke😃Na hakuna mchezaji wa mkopo anayeoneshaga kiwango cha juu
Iko hivyo MKuu!Na hakuna mchezaji wa mkopo anayeoneshaga kiwango cha juu