Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Kuamini mmerudi rasmi mpaka tuwaone mmebeba Epl, mambo ya kuongoza ligi kwa siku 258 halafu mnabakiza mechi 8 tu kumaliza ligi mnatupa taulo na kukaa chini hii inatufanya tuwaone bado nyie ni mid table team tu kama kina crystal palace.[emoji23][emoji23][emoji23] Sisi timu kubwa iliyojikwaa kidogo ila haijaanguka mazima. Sasa vitimu vya kizushi kama Nyumbuz vinaamini tumeanguka na havitaki kuamini tumerudi rasmi ulingoni