Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Erik ten Hag has blocked a move for Tom Heaton to Luton Town, where he would have been no.1 goalkeeper.

Heaton has been told he will not be allowed to leave #mufc this summer.

by Telegraph
 
Sure wametumia pesa nyingi sana kwenye usajili ambao hauleti matunda halafu magarasa yanapoletwa hata wakati wa kuondoka hayauziki mpaka yamalize mkataba
Hawajawahi kutumia pesa yao kwa usajili inayotumika ni ya klabu ndio maana fans hawawataki kwa sababu hawajawahi kuingiza pesa yao kwa klabu.
 
Kaka ake Sheikh Jassim ameapprove
IMG_20230629_203615.jpg
 
Hawajawahi kutumia pesa yao kwa usajili inayotumika ni ya klabu ndio maana fans hawawataki kwa sababu hawajawahi kuingiza pesa yao kwa klabu.

Sasa Kwa nini waingie mufukoni mwao wakati timu ina billions zimejaa benki na inajitosheleza?

Nadhani lengo kuu la wafanyabiashara wa hivi ni kuchota mshiko zaidi kuliko kuwekeza zao. Kama kina Kroenke kwetu. Ila Kuna wale wanaotaka faraja za makombe kama kina Abramovich ambao watakopesha club pesa zao binafsi kuhakikisha mafanikio yanapatikana kwanza halafu walipwe na club baadae
 
Huo ndio wizi sasa mashabiki hawautaki ndio maana tangu 2009 wamkuwa against nao.
 
Mtihan kwa 7hag , atamtumiaje mount alete impact au atageuka Anthony mwingine

Na ameshapewa salary ya £250k/p
Antony ni takataka ile inajipiga vyenga halafu inaua mashambulizi muda wote na guu lake la mavi,kule right wing ningependa siku moja kocha atuletee Pedro Goncalves chuma kinapiga 7 na 10 katika top performance
 
Sasa Kwa nini waingie mufukoni mwao wakati timu ina billions zimejaa benki na inajitosheleza?

Nadhani lengo kuu la wafanyabiashara wa hivi ni kuchota mshiko zaidi kuliko kuwekeza zao. Kama kina Kroenke kwetu. Ila Kuna wale wanaotaka faraja za makombe kama kina Abramovich ambao watakopesha club pesa zao binafsi kuhakikisha mafanikio yanapatikana kwanza halafu walipwe na club baadae
Hio kitu ndio inamkera kwelikweli Sheikh Jassim, yeye anaitaka Man Utd kwa mapenzi tu aliyokua nayo kwa club sio kibiashara, hafikirii kabisa faida ya kipesa atakayoipata toka Utd ila anaumiza kichwa kufikiria Utd itafaidika vipi na pesa zake.
Ukiwa na boss kama sheikh Jasim yaani unatamani hata jumapili na siku za sikukuu uwe unaenda tu kazini, maana ukiwa kazini unakua na furaha zaidi kuliko hata ukiwa nyumbani.
 
Antony ni takataka ile inajipiga vyenga halafu inaua mashambulizi muda wote na guu lake la mavi,kule right wing ningependa siku moja kocha atuletee Pedro Goncalves chuma kinapiga 7 na 10 katika top performance
Mnapoteza muda ,hiyo RW mpeni Sancho ,na aaminiwe kwamba hiyo ndio nafasi yake ,alishafanya hivo BVB akipiga G/A 25+ karibu misimu miwili , hata UCL aliwatungua mancity

Tatizo 10hag hataki kukubali kwa Anthony alipigwa , wakati Ni kawaida makocha kukosea , Ila Sasa Sancho mnamyumbisha Mara LW Mara bench Mara RW , lini atajiamini na kutulia position Moja ajue kulink na wenzake
 
Back
Top Bottom