Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,413
- 3,078
Juheshmu bwege weweMpango ni kudhoofisha NYUMBU
Juheshmu bwege weweMpango ni kudhoofisha NYUMBU
Diogo Costa na Kevin Trapp wapo Eredivisie?10hag anamtaka kipa wa fayernood , if deal la onana likiwa gumu
Hivi 10hag nje ya erevedise Hana jicho
Glazers wanasita kutoa pesa nyingi wakati timu ipo kwenye transition ya kutaka kuuzwa.Hivi ni kwanini budget yetu iwe 120? Wakati vilabu vingine vinaspend hapa shida ni glazers au Sheria gani inatubana mpaka tuwe na hiyo 120.
Mount si tayri ssa mnataka sajili gani zifanyike nyie manjestaGlazers wanasita kutoa pesa nyingi wakati timu ipo kwenye transition ya kutaka kuuzwa.
Hawa wapuuzi walitakiwa kupewa presha kubwa ili wauze hio timu haraka kabla hata dirisha la usajili halijafunguliwa.
Matokeo ya ucheleweshwaji wa kuuza timu ndio haya mpaka dirisha linafungwa usajili kwenye club yetu bado hueleweki.
Bado tunauhitaji wa Kipa na Forward makini pale mbele.Mount si tayri ssa mnataka sajili gani zifanyike nyie manjesta
Operation ni kuifilisi MANCHESTER UnitedSina imani na Onana kuwa kipa namba moja kiukweli labda aje awe chaguo la pili
Huwa namuona kama John Mwanda tu
Ten Hag ni jasusi bobezi la Dutch government hapo MANCHESTER UnitedHao sio mashabiki wa Manchester United, ni mashabiki wa Arsenyeto wanaojifanya ni mashabiki wetu kumbe ni mamluki.
Tena inawezekana huyo aliyefanya uhaini huo akawa ni Carasco Putin au Bachelor ll
Mimi ni shabiki waMbona hao kina Bachelor na Carasco ni watu wenu?
Kenge wewe unafikiri Man United ni kama timu zenu za Bongo pesa kuungaunga!Operation ni kuifilisi MANCHESTER United
Na wewe kawe jasusi la Tanzanian Government kama rahisiTen Hag ni jasusi bobezi la Dutch government hapo MANCHESTER United
Ten Hag mm namjua kitambo kuwa no jasusi since anafundisha fc kyle[emoji23][emoji23][emoji23] haya mambo ya kila mchezaji wa Kiholanzi kuhusishwa na Man Utd ndio yanafanya kina Bachelor ll kupata nguvu zaidi ya kumhusisha 10 Hag na ujasusi wa nchi yake dhidi yetu.
Jamaa ni jobless na kaoa! 😁David de Gea is a married man [emoji183][emoji3590]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙[emoji837]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2675547View attachment 2675548
Sitashangaa tukianza pre-season striker akiwa Martial.Ila timu yetu ya ajabu aisee eti €45m kwa Hojlund kubwa na wakati timu inahitaji striker na waliopo wote bei ghali hawawezi kuwapata kwa chini ya €90m.
Naona wanataka kurudia mistakes za kwa Haaland.
Yaani wametoa pesa nyingi kwa wachezaji takataka kama Antony ila hiyo €45m hapo wanadai kubwa sana sijui walidhani watampata nani kwa bei chee.
Kama wanataka strikers kwa bei chee waende kwa wale wazee halafu hawana uwezo ama wamrudie Weghorst ***** zao maana ndio cheap kwa soko la sasa.View attachment 2675892
Fc kyle ndio nn kweli vichwa vya kuku nyie mnawaza pumba tu[emoji23][emoji23]Ten Hag mm namjua kitambo kuwa no jasusi since anafundisha fc kyle
Ngoja utaonaKenge wewe unafikiri Man United ni kama timu zenu za Bongo pesa kuungaunga!
Utafirisika wewe Man United bado itasimama.
Mbona mimi jasusi kitambo saana ndio maana nimeligundua hilo jasusi la Dutch government hapo MANCHESTER UnitedNa wewe kawe jasusi la Tanzanian Government kama rahisi
Katika wachezaji wetu ambaye simpendi kuliko ni Martial anacheza kama kalazimishwa hata facial expression zake kama anaonewa.Sitashangaa tukianza pre-season striker akiwa Martial.
Hii timu ni stress tupu kwasababu kama washajua hawana pesa wauze basi wachezaji lakini kwenye kila kitu timu ipo slow.
Mimi naamini tayari kocha ana list ya watu wake na wale asio na mpango nao ni suala la timu kuwa wazi. Kama Maguire, Fred, Scott n.k. hawahitajiki wakae sokoini mapema.
Fc kyle ni timu ambayo jasusi alianzia ukochaFc kyle ndio nn kweli vichwa vya kuku nyie mnawaza pumba tu[emoji23][emoji23]
Niia pekee ya Man United kufirisika ni kubaki bila mmiliki we endelea na fikra zako za Kimama.Ngoja utaona