Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Point tatu muhimu,,,

Kelele ziwe za Arsenane na Man Six, nyie wa Cheltako na Liverkuku angalieni msimamo wa ligi
 
Tukiweka ushabiki pembeni bado hatuioni manjesta ya kuifunga Brighton na Brentford ,

Tuliona Vs Fulham had walipopata 3 red cards ndipo mkapata matokeo

Brighton katikati Caicedo & MacAlister ,

Winga Soli March na Mitoma

Buildup inaanzia chini kabisa ,Bado sioni Manjesta yakuifunga Brighton na Brentford

Mpaka mechi ya mwisho huenda manjesta akamaliza nafasi ya
Mbuemo ,Ivan Toney ,Golini David Raya

Sion manjesta ya kufurukuta hapa
~Bado hatuioni Manchester ya kuifunga brentford~
Friends of Brentford

Prediction

Mechi itaisha DRAW maana Leo mtapambana Sana

Bado sijaiona manjesta yakufurukuta kwa Brentford kushinda Comfortably,ukweli usemwe
Mechi imeishaje kwenu uko😂
Mimi Ni mchambuzi nguli

Mfano kwa leo sioni manjesta yakuifunga Brentford View attachment 2577387

Kiungo Sabiza na Vunjabei

Manjesta 0 Brentford 1

Au

Manjesta 0 Brentford 0

Swala la kushinda nyie msahau kabisa kwasasa , Hadi mwezi May
Swala la kumfunga brentford tumelisahau.
Nyumbu mkimfunga Brentford leo mniite mbwa niko paleee👉👉👉
Mbwaaaa 🐶🐶🐶🐶🐶🐶🐶🐶🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐕🐶🐶🐶🐶🐶🐶🐶🐶
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa utd msimu huu tumefurugiwa mipango baada ya kuumia Eriksen na hizi kadi nyekundu za Casemiro la sivyo tungekuwa na utofauti wa point zisizozidi sita kati yetu na timu inayoongoza ligi.

Hawa wachezaji wawili hawana mbadala na ndio tatizo la timu yetu lilipo miaka yote so ETH aliliona hili akachukua hawa watu kwa kipindi cha mpito huku akitafuta mbadala wao. ETH ni kocha sahihi pale OT.
 
Back
Top Bottom