Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimecheki game na Newcastle mliyofungwa.

Ya jana sikuicheki 100% coz nilikua nahamisha kati ya yenu na ya Madrid na Barca.

Kitu nimeona ni kwamba Erik 7 ana vision na anavyotaka timu icheze, namna united inakaba inafanya swarming kwa hizo games mbili ilikua ngumu mno kwa shots za chini kupita ukuta.

Yaani timu nzima inajua kwamba kinachotakiwa ni kua mbele ya goli. Pia back line haisogei yote ni ama watabaki watatu au wote wanne nyuma. The idea ikawa ni kuzuia watu wenye pace kufanya counter.

Kwa game ya Newcastle united alirely 100% kwenye kusubiri counter. Ila kwa jana at some point niliona united inajaribu kutafuta goli bila kusubiria counter. Chances za counter walizopata jana nyingi hazikuzaa matunda.

Mipira mingi alikua analetewa Rashford lakini haikua na madhara. The reason kwa jana Rashford hakua mzuri 1 v 1, kwa maoni yangu kwa staili ya jana United ingekua badala ya Rashford wana effective Grealish au Maximin na ST Toney jana wangepata magoli mengi.

Erik anahitaji kujua kuchagua wachezaji.
 
Viungo wa boli wanarudi, sasa top 4 uhakika. Kuhusu suala la treble hilo ni lazima, medali za mshindi wa kwanza FA Cup & Europa League zinarudi Old Trafford.

Niletee Harry Kane.
20230406_184130.jpg
 
Viungo wa boli wanarudi, sasa top 4 uhakika. Kuhusu suala la treble hilo ni lazima, medali za mshindi wa kwanza FA Cup & Europa League zinarudi Old Trafford.

Niletee Harry Kane.
View attachment 2578663
HIVI
Mbwa koko wahed.
Hivi kiwango cha Bruno Kimeshuka au ni mtazamo wangu tu mechi km ya nne namfuatilia huwa anapoteza mipira mingi sana tena kirahisi sana au ndio amechuka wajuzi nipeni maneno
 
HIVI

Hivi kiwango cha Bruno Kimeshuka au ni mtazamo wangu tu mechi km ya nne namfuatilia huwa anapoteza mipira mingi sana tena kirahisi sana au ndio amechuka wajuzi nipeni maneno
Kimeshuka hili halina mjadala..

Jana alikuwa anafanya maamuzi ya kijinga jinga sana..but work rate yake hatupaswi kuipuuza.
 
Wachezaji 9 aliosajili 10hag

kikosi

Weghorst
Antony
Eriksen Casemiro Sabitzer
Malacia Martinez
Jack Butland

2-3 -1 -1 Formation

, , , Martin Dubravk amerejea
hiki kikosi Chake ukijazia wahenga ambao hawana tija
Ukitoa Bruno, Shaw, Rapha na rashford na wachache wengine wakuuza tu
 
Back
Top Bottom