Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mstari mwembamba Sana Kati ya Ole Guna na 7 hag

Ni swala la muda wote mtaimba wimbo mmoja humu

View attachment 2575438
Ongezea katika hizo takwimu, 10 Hag kashinda Carabao Cup, yupo robo fainali na anapambania FA na Europa.
Katika hizo tawimu OGS alikua anapambania kombe gani lingine zaidi ya Epl?
tapatalk_1228735364_512x512.jpg
 
Arsenal kama mzigo upo mchukueni Osimhen atawafaa sana kwa aina ya wingers mlionao.
@Forgotten unamatusi ya rejareja sana mtu wangu, yaani Arsenyani hawahawa ninaowajua mimi ndio unawashauri wamsajili Osimhen?
Ni sawa na kipindi cha mafuriko kuwashauri wale watu wanaoishi mabondeni wanunue nyumba Osterbay ili kuepukana na adha ya mafuriko ya mara kwa mara.
 
Ten Hag on Christian Eriksen’s return:
“Not tomorrow. He is returning on the pitch, he is returning to team training today so we have to see how quick he can now make the progress.”
 
Ten Hag: "We had a very bad performance [vs Newcastle] because the opponent wanted it more. They were sharper. You can see that in the challenges, we won only 16 from 61 challenges in offence and in defence the opponent beats us 48 from 78 challenges. Then you can't win a game."
 
TUKISEMA KINA SISI KINA Flano WANASEMA TUNA CHUKI ,NA HAPO 7HAG ANAPAMBANA KUMUONGEZEA MKATABA DEGEA

| Jacob Murphy on playing against De Gea’s Goal Kicks:

“They had a goal kick and he was taking a while… it was a bit unusual as they started playing out quick… I could sense from that we we’re going to have a good game.” [@FIVEUK]
 
RB huyo..

Sasa Wtf are these Dalot's contract extension stories comes from??

AWB ndo anayetakiwa kubakishwa in my opinion.View attachment 2575609
hamis77 mholanzi mwingine tena huyu hapa wanamsaka. Ukiwaambia kuwa 7hag ana vigezo vi2-3 Kwa mchezaji anayemsaka n hivyo ni 1. awe mholanzi au 2. awe amecheza eredevisie, wanakuita hater
 
hamis77 mholanzi mwingine tena huyu hapa wanamsaka. Ukiwaambia kuwa 7hag ana vigezo vi2-3 Kwa mchezaji anayemsaka n hivyo ni 1. awe mholanzi au 2. awe amecheza eredevisie, wanakuita hater
Ujue nilikuwa sijui Kama huyu Frimpong Ni mdutch

Nimeenda Google nimekuta kweli

Huyu kocha mfatilie toka dirisha kubwa nje ya wachezaji waki Dutch au waliopita Erevedise Hana jicho la kuchagua labda hawa wenye majina ambao hata Julio kiwelo anawajua kina Hary Kane ,Osmhen, Mbappe ,n.k


Eriksen kapita Ajax
Anthony kapita Ajax
Martinez Kapita Ajax
Malacia kapita Erevedise
Werghost Mdutch
Sabitzer nasikia wanajuana

Casemiro huyu kwa vyanzo vyangu nasikia sio usajili wake Ni usajili wa bodi ya manjesta baada ya kuona wamemkosa De jong(Mdutch kapita Ajax) ,presha kubwa ya mashabiki GRAZZER OUT wakaona wavamie Madrid haraka .


Hata anavyompambania Degea abaki watu wanadhani utani , anajua akifanya sagulasagula ataleta kipa Shati , Manjesta itakuwa taaban , heri abaki na Degea aendelee kumuweka mjini ,

Manjesta nimoja ya timu zinaongoza kukaa chini ,sababu Degea hawez kusogea juu kuunganisha mashambulizi

Top 6
Shots conceded vs goals conceded in the SIX YARD BOX ONLY

Man Utd 49 / 15
Tottenham 24 / 7
Newcastle 20 / 7
Arsenal 19 / 4
Man City 17 / 6
Brighton 17 / 6
 
Mwarabu apewe timu
Kwanini Recruitment ya wachezaji wasiwe wakwanza kufumuliwa mnakimbilia kuwananga Graza family?

Je unajua Manjesta chini Ya Graza wamemwaga pesa nyingi au sawa na Sheikh Mansoor pale City

Ina maana Leo Sheikh Mansoor akiinunua manjesta , Recruitment ya wachezaji ikabaki hii Basi Tutegemee Sheikh Mansoor akifanyiwa maandamano aachie timu
FqCspGOWAAAjlBY.jpg
 
Manjesta ya 7 hag Ni ya 18 kwa kucheza chini kabisa ,

Sababu kuu Ni Degea hawezi kusogea hatua 2 ,anasubiria kuokoa Mashuti

Mabeki Kama Wanabisaka,dalot na Varane wanaogopa mpira kumpa Degea na Degea anaogopa kuwapa



Manchester United defensive line height (Premier League rank)

2019-20 | 45.07 (6th)

2020-21 | 46.16 (4th)

2021-22 | 42.82 (14th)

2022-24 | 41.52 (18th)

Stats source


@markrstats
 
Back
Top Bottom