Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ujue nilikuwa sijui Kama huyu Frimpong Ni mdutch

Nimeenda Google nimekuta kweli

Huyu kocha mfatilie toka dirisha kubwa nje ya wachezaji waki Dutch au waliopita Erevedise Hana jicho la kuchagua labda hawa wenye majina ambao hata Julio kiwelo anawajua kina Hary Kane ,Osmhen, Mbappe ,n.k

Eriksen kapita Ajax
Anthony kapita Ajax
Martinez Kapita Ajax
Malacia kapita Erevedise
Werghost Mdutch
Sabitzer nasikia wanajuana

Casemiro huyu kwa vyanzo vyangu nasikia sio usajili wake Ni usajili wa bodi ya manjesta baada ya kuona wamemkosa De jong(Mdutch kapita Ajax) ,presha kubwa ya mashabiki GRAZZER OUT wakaona wavamie Madrid haraka .

Hata anavyompambania Degea abaki watu wanadhani utani , anajua akifanya sagulasagula ataleta kipa Shati , Manjesta itakuwa taaban , heri abaki na Degea aendelee kumuweka mjini ,

Manjesta nimoja ya timu zinaongoza kukaa chini ,sababu Degea hawez kusogea juu kuunganisha mashambulizi

Top 6
Shots conceded vs goals conceded in the SIX YARD BOX ONLY

Man Utd 49 / 15
Tottenham 24 / 7
Newcastle 20 / 7
Arsenal 19 / 4
Man City 17 / 6
Brighton 17 / 6
Daah namkubali sana De Gea. Jamaa anachomoa sana mashuti . Kwa mashambilizi yote hayo ana concede only about 30% ya hizo shots kama magoli. Siyo mbaya. Bila huyu jamaa ManUtd Sasa hivi asingekuwa anamcheka Chelsea. Wote wangekuwa vumbini pamoja
 
Ujue nilikuwa sijui Kama huyu Frimpong Ni mdutch

Nimeenda Google nimekuta kweli

Huyu kocha mfatilie toka dirisha kubwa nje ya wachezaji waki Dutch au waliopita Erevedise Hana jicho la kuchagua labda hawa wenye majina ambao hata Julio kiwelo anawajua kina Hary Kane ,Osmhen, Mbappe ,n.k

Eriksen kapita Ajax
Anthony kapita Ajax
Martinez Kapita Ajax
Malacia kapita Erevedise
Werghost Mdutch
Sabitzer nasikia wanajuana

Casemiro huyu kwa vyanzo vyangu nasikia sio usajili wake Ni usajili wa bodi ya manjesta baada ya kuona wamemkosa De jong(Mdutch kapita Ajax) ,presha kubwa ya mashabiki GRAZZER OUT wakaona wavamie Madrid haraka .

Hata anavyompambania Degea abaki watu wanadhani utani , anajua akifanya sagulasagula ataleta kipa Shati , Manjesta itakuwa taaban , heri abaki na Degea aendelee kumuweka mjini ,

Manjesta nimoja ya timu zinaongoza kukaa chini ,sababu Degea hawez kusogea juu kuunganisha mashambulizi

Top 6
Shots conceded vs goals conceded in the SIX YARD BOX ONLY

Man Utd 49 / 15
Tottenham 24 / 7
Newcastle 20 / 7
Arsenal 19 / 4
Man City 17 / 6
Brighton 17 / 6
Walimtaka na Gakpo pia Klopp akafanya mambo ya Todd Boehly. Sitashangaa akimtaka Van Dijk...
 
Mbuemo ,Ivan Toney ,Golini David Raya

Sion manjesta ya kufurukuta hapa
 
Friends of Brentford

Prediction

Mechi itaisha DRAW maana Leo mtapambana Sana

Bado sijaiona manjesta yakufurukuta kwa Brentford kushinda Comfortably,ukweli usemwe
 
Mkuu naona bila man u upati credit kabisa naona uwezi ishi pasipo kuitaja man u.

Mental Manchester inakutesa.
20230402_102659.jpg
 
Mkuu naona bila man u upati credit kabisa naona uwezi ishi pasipo kuitaja man u.

Mental Manchester inakutesa.View attachment 2576980
Mbona nyie mnakujaga Uzi wa Arsenal mnabwata na kujiachia , Hadi matokeo yenu ,msimamo wa ligi mnapost kule
Mlipochukua kombe la Energy Drink mlishinda siku nzima mnapost

Au nyie ndio mna haki miliki ya kutusagula jukwaa la Arsenal ?
 
Ten Hag ni JASUSI la Dutch government hapo MANCHESTER United
Wanaweza kuona unafanya utani ila ndio ukweli halisi

Huwezi kununua Anthony kwa €100m ,Ni kuitunishia msuli wa kifedha ajax

Sasa hivi anasema Werghost bado yupo sana kisa Ni shemeji yake
 
Badala ya Antony ulitaka usajiliwe wewe? Hiyo hela inakuuma kama umeitoa wewe vile
 
Back
Top Bottom