Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukimlinganisha Arteta na Lampard na Ole alioanza nao kazi sawa, na Erik kwa sasa Arteta kawaacha.

Hii ni kwa kuzingatia kikosi ambacho kila mmoja alikikuta, decision making, support ya mmiliki na culture ya timu husika.
Mtoe basi EtH kwenye sentence moja na Arteta.

Arteta ana misimu mingapi hapo Arsenyani?
 
Wataalamu naomba kuuliza mishahara ya makocha hapo EPL ipoje? Nani analipwa zaidi ya wenzake? Au mikataba yao huwa ni siri?
 
Hii ndiyo sababu kwanini sitaki kuona Arsenal wakibeba ubingwa wa EPL.

Bora iwe Three-peat kwa City tu.

Sasa sisi kupata easiest draw kwenye League Cup hiyo ni shida yetu? The so called "the best teams" zote zimetolewa mlitaka tucheze na nani kama wote mmetolewa!?

EtH & Anthony ndiyo wana msimu wa kwanza, kipindi mnaimba #ArtetaOut mmeshasahau?
Arteta out uliisikia wap ,ulishawahi kuona hata bango?
 
Ungekuja na hoja ningekuelewa , justify
1. Thibitisha kuwa ni kweli Ole hakutaka kumsajili Ronaldo na aliletewa tu.

2. Leta ushahidi EtH akiwa kamaliza msimu nje ya top 4 kwenye EPL, ndiyo tulinganishe na msimu Ole alipomaliza 3rd & 2nd.

Kwahiyo Ole kumaliza 2nd unaona ni mafanikio makubwa sana? Unajua huo msimu competitors wake walikuwa na hali gani? Arsenal mlimaliza nafasi ya ngapi?
 
Wataalamu naomba kuuliza mishahara ya makocha hapo EPL ipoje? Nani analipwa zaidi ya wenzake? Au mikataba yao huwa ni siri?
Sio Siri..
1.kipara
2.Klopp
3.Conte
4. Alikuwa Potter 🤣🤣
Wengine wanaweza ongeza
 
1. Thibitisha kuwa ni kweli Ole hakutaka kumsajili Ronaldo na aliletewa tu.

2. Leta ushahidi EtH akiwa kamaliza msimu nje ya top 4 kwenye EPL, ndiyo tulinganishe na msimu Ole alipomaliza 3rd & 2nd.

Kwahiyo Ole kumaliza 2nd unaona ni mafanikio makubwa sana? Unajua huo msimu competitors wake walikuwa na hali gani? Arsenal mlimaliza nafasi ya ngapi?
Kama hujui hata Ronaldo ilikuwa aende city ,uongoz wa Manjesta ukiwa na Fergie ndio walimleta manjesta bas napoteza muda kujadiliana na ww
 
Arteta out uliisikia wap ,ulishawahi kuona hata bango?
images (6).jpeg
 
Kama hujui hata Ronaldo ilikuwa aende city ,uongoz wa Manjesta ukiwa na Fergie ndio walimleta manjesta bas napoteza muda kujadiliana na ww
Hata mimi unadhani sipotezi muda kujadiliana na mtu ambaye hajui tofauti kati ya rumours na facts.
 
Eti Rumours dah, CR7 mwenyewe anafanya interview na pier Morgan kazungumza Hilo Jambo

Ole Guna pale manjesta hakuwa manager ,hiyo nguvu ya kusajili anayemtaka aliitoa wapi
 
Ukiwa great thinker usijarbu kujustify mawazo yako ambayo hayako verified na kutaka kuaminisha watu, hata kama ni ukweli lazima udhibitike ndo uende mjini ,hakuna haja ya kugoogle rumours

Na Hakuna mahali potter amedai aliletewa wachezaji asiowataka , hayo ni maneno tu ya mashabiki viazi na wajuaji , potter ana level zake za club za kumanage , club kama chelsea sio level zake , chelsea ni club inayohitaji matokeo na sio sjui transtion , hiyo kazi inawezwa na manager wazoefu waliopita club nyingi kubwa wanajua namna ya kupata matokeo kwa mda mfupi , na badae kutengeneza kikosi cha misimu miwili au mitatu ...

Hyo timu aliyotoka potter kabla ya chelesea ilichukua mda gan yeye kuanza kupata matokeo angalau ya kudridhisha japo hakukuwa na mafanikio yyte ya maana? Inashangaza mtu kama huyu unampa umanager hyo ilikuwa total gambling ....

Chelsea , bayern munich , manchester united , real madrid , hzi ni timu zinahtaji matokeo uwanjani bila hvyo manager unakuwa under high pressure ya kufukuzwa na haya mambo yakianza kocha unapoteza uwezo na faster unaloose dressing room ..kinachofata ni vipigo non stop mpak unafukuzwa

Hata timu iwe worst namna gan kocha mwenye uwezo huonyesha matumaini , lakini sio kwa potter , anaye mtetea huyu jamaa inabidi akapimwe akili
Usijitetee kwa aya ndefu za kulaumu watu.

Huwezi andika miyeyusho ukatarajia tubabysit miyeyusho yako

Klopp alisema anamtaka Nunez, alisema anataka Salah aongezewe mkataba alisema anamtaka Gakpo. Erik alisema anamtaka Antony, Gakpo, Martinez, Malacia. Arteta alisema anamtaka Martinez, Locatelli, Vlahovic, Mudryk n.k.

Potter alisema anamtaka Nkunku? Point players ambao Potter alisema anawataka.
 
Ukiwa great thinker usijarbu kujustify mawazo yako ambayo hayako verified na kutaka kuaminisha watu, hata kama ni ukweli lazima udhibitike ndo uende mjini ,hakuna haja ya kugoogle rumours

Na Hakuna mahali potter amedai aliletewa wachezaji asiowataka , hayo ni maneno tu ya mashabiki viazi na wajuaji , potter ana level zake za club za kumanage , club kama chelsea sio level zake , chelsea ni club inayohitaji matokeo na sio sjui transtion , hiyo kazi inawezwa na manager wazoefu waliopita club nyingi kubwa wanajua namna ya kupata matokeo kwa mda mfupi , na badae kutengeneza kikosi cha misimu miwili au mitatu ...

Hyo timu aliyotoka potter kabla ya chelesea ilichukua mda gan yeye kuanza kupata matokeo angalau ya kudridhisha japo hakukuwa na mafanikio yyte ya maana? Inashangaza mtu kama huyu unampa umanager hyo ilikuwa total gambling ....

Chelsea , bayern munich , manchester united , real madrid , hzi ni timu zinahtaji matokeo uwanjani bila hvyo manager unakuwa under high pressure ya kufukuzwa na haya mambo yakianza kocha unapoteza uwezo na faster unaloose dressing room ..kinachofata ni vipigo non stop mpak unafukuzwa

Hata timu iwe worst namna gan kocha mwenye uwezo huonyesha matumaini , lakini sio kwa potter , anaye mtetea huyu jamaa inabidi akapimwe akili
Potter kakuta timu ina majeruhi, injini ya timu (Kante) ina majeruhi amebaki na Jorginho na Kovacic.

ST waliyenaye ni washed Auba. Kwa akili ya kawaida hii timu inahitaji ST na inahitaji DM.

Wachezaji walioletwa wote hakuna ambaye angeenda address tatizo. Una Mudryk, Mount, Haverzt, Sterling, Madueke, Felix sawa ila hawa wote siyo goal scorer naturally ni watengeneza nafasi zaidi. Nafasi bila ST nini unafanya? Beki inapokea mashambulizi non stop Mid imelegea.

Great thinker unafeli kuona hilo?
 
This is how the the table will be like at the end of the season
👇👇
1.Arsenal
2.Manchester City
3.Tottenham
4.Newcastle United
5.Manchester United

Take this comment to the nearest bank for later withdrawal/ reference.
 
Back
Top Bottom