hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Subiri Brentford wafanye yaoOl Trafford siku hizi ni mahala panapo heshimika sana
Brentford leo anakufa vzuri
Subiri Brentford wafanye yaoOl Trafford siku hizi ni mahala panapo heshimika sana
Brentford leo anakufa vzuri
Ukimuuliza kocha Fred anafanya nini kule nje sijui atajibu nini, jinga kabisa. Hao watoto wa kizungu hapo kati hawapawezi, ubaguzi tu. Last match Sabtzer alichemsha vibaya sio wa kurudishwa leo.Dalot??
Sancho??
McTominay +Sabitzer??
Really bro?Betia man u hafu stake high.View attachment 2577717
Toney kijana wetu wa London kabisa huyu
Ingia wewe uchezeUkimuuliza kocha Fred anafanya nini kule nje sijui atajibu nini, jinga kabisa. Hao watoto wa kizungu hapo kati hawapawezi, ubaguzi tu. Last match Sabtzer alichemsha vibaya sio wa kurudishwa leo.
Acheze mamaakoIngia wewe ucheze
Na wewe nenda kawe dalali wa kizaramo pale kama ni rahisiTen Hag ni dalali wa Ajax hapo MANCHESTER United
Ten Hag ni JASUSI la DutchNa wewe nenda kawe dalali wa kizaramo pale kama ni rahisi