hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,510
Ungekuja na hoja ningekuelewa , justifyHivi unafuatilia mpira kweli au unaandika tu kwasababu stats zipo mtandaoni!?
Ungekuja na hoja ningekuelewa , justifyHivi unafuatilia mpira kweli au unaandika tu kwasababu stats zipo mtandaoni!?
Arteta out uliisikia wap ,ulishawahi kuona hata bango?Hii ndiyo sababu kwanini sitaki kuona Arsenal wakibeba ubingwa wa EPL.
Bora iwe Three-peat kwa City tu.
Sasa sisi kupata easiest draw kwenye League Cup hiyo ni shida yetu? The so called "the best teams" zote zimetolewa mlitaka tucheze na nani kama wote mmetolewa!?
EtH & Anthony ndiyo wana msimu wa kwanza, kipindi mnaimba #ArtetaOut mmeshasahau?
FT NEW 2 vs MU 3
1. Thibitisha kuwa ni kweli Ole hakutaka kumsajili Ronaldo na aliletewa tu.Ungekuja na hoja ningekuelewa , justify
Sio Siri..Wataalamu naomba kuuliza mishahara ya makocha hapo EPL ipoje? Nani analipwa zaidi ya wenzake? Au mikataba yao huwa ni siri?
Kama hujui hata Ronaldo ilikuwa aende city ,uongoz wa Manjesta ukiwa na Fergie ndio walimleta manjesta bas napoteza muda kujadiliana na ww1. Thibitisha kuwa ni kweli Ole hakutaka kumsajili Ronaldo na aliletewa tu.
2. Leta ushahidi EtH akiwa kamaliza msimu nje ya top 4 kwenye EPL, ndiyo tulinganishe na msimu Ole alipomaliza 3rd & 2nd.
Kwahiyo Ole kumaliza 2nd unaona ni mafanikio makubwa sana? Unajua huo msimu competitors wake walikuwa na hali gani? Arsenal mlimaliza nafasi ya ngapi?
Arteta out uliisikia wap ,ulishawahi kuona hata bango?
Hata mimi unadhani sipotezi muda kujadiliana na mtu ambaye hajui tofauti kati ya rumours na facts.Kama hujui hata Ronaldo ilikuwa aende city ,uongoz wa Manjesta ukiwa na Fergie ndio walimleta manjesta bas napoteza muda kujadiliana na ww
Editing
Eti Rumours dah, [emoji1787] CR7 mwenyewe anafanya interview na pier Morgan kazungumza Hilo JamboHata mimi unadhani sipotezi muda kujadiliana na mtu ambaye hajui tofauti kati ya rumours na facts.
Mh unakua mgeni sasa siyo? Hua tunasikia fununu, kukanusha kisha tunasikia kitakachokuaRashford alikanusha kutaka £500k, hiyo tu inaonyesha jinsi gani hujui unachoandika.
Kachukua timu.Mtoe basi EtH kwenye sentence moja na Arteta.
Arteta ana misimu mingapi hapo Arsenyani?
Usijitetee kwa aya ndefu za kulaumu watu.Ukiwa great thinker usijarbu kujustify mawazo yako ambayo hayako verified na kutaka kuaminisha watu, hata kama ni ukweli lazima udhibitike ndo uende mjini ,hakuna haja ya kugoogle rumours
Na Hakuna mahali potter amedai aliletewa wachezaji asiowataka , hayo ni maneno tu ya mashabiki viazi na wajuaji , potter ana level zake za club za kumanage , club kama chelsea sio level zake , chelsea ni club inayohitaji matokeo na sio sjui transtion , hiyo kazi inawezwa na manager wazoefu waliopita club nyingi kubwa wanajua namna ya kupata matokeo kwa mda mfupi , na badae kutengeneza kikosi cha misimu miwili au mitatu ...
Hyo timu aliyotoka potter kabla ya chelesea ilichukua mda gan yeye kuanza kupata matokeo angalau ya kudridhisha japo hakukuwa na mafanikio yyte ya maana? Inashangaza mtu kama huyu unampa umanager hyo ilikuwa total gambling ....
Chelsea , bayern munich , manchester united , real madrid , hzi ni timu zinahtaji matokeo uwanjani bila hvyo manager unakuwa under high pressure ya kufukuzwa na haya mambo yakianza kocha unapoteza uwezo na faster unaloose dressing room ..kinachofata ni vipigo non stop mpak unafukuzwa
Hata timu iwe worst namna gan kocha mwenye uwezo huonyesha matumaini , lakini sio kwa potter , anaye mtetea huyu jamaa inabidi akapimwe akili
Potter kakuta timu ina majeruhi, injini ya timu (Kante) ina majeruhi amebaki na Jorginho na Kovacic.Ukiwa great thinker usijarbu kujustify mawazo yako ambayo hayako verified na kutaka kuaminisha watu, hata kama ni ukweli lazima udhibitike ndo uende mjini ,hakuna haja ya kugoogle rumours
Na Hakuna mahali potter amedai aliletewa wachezaji asiowataka , hayo ni maneno tu ya mashabiki viazi na wajuaji , potter ana level zake za club za kumanage , club kama chelsea sio level zake , chelsea ni club inayohitaji matokeo na sio sjui transtion , hiyo kazi inawezwa na manager wazoefu waliopita club nyingi kubwa wanajua namna ya kupata matokeo kwa mda mfupi , na badae kutengeneza kikosi cha misimu miwili au mitatu ...
Hyo timu aliyotoka potter kabla ya chelesea ilichukua mda gan yeye kuanza kupata matokeo angalau ya kudridhisha japo hakukuwa na mafanikio yyte ya maana? Inashangaza mtu kama huyu unampa umanager hyo ilikuwa total gambling ....
Chelsea , bayern munich , manchester united , real madrid , hzi ni timu zinahtaji matokeo uwanjani bila hvyo manager unakuwa under high pressure ya kufukuzwa na haya mambo yakianza kocha unapoteza uwezo na faster unaloose dressing room ..kinachofata ni vipigo non stop mpak unafukuzwa
Hata timu iwe worst namna gan kocha mwenye uwezo huonyesha matumaini , lakini sio kwa potter , anaye mtetea huyu jamaa inabidi akapimwe akili
Hivi arsenal nayo nintop timu? Utop wa arsenal uko wapi ndugu zangu sio kwamba nakejeli naomba kuelimishwa.Man Utd away vs top 9 teams:
[emoji777] Brentford 0-4
[emoji777] Man City 3-6
[emoji777] Aston Villa 1-3
[emoji777] Arsenal 2-3
[emoji777] Liverpool 0-7
[emoji777] Newcastle 0-2
They visit #Spurs on 27th April.