Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Utd fans, 7 Hag takes over July 2022 and you are told in April 2023 you’re 3 points better off than Rangnick and Liverpool have beaten you 7-0, while City have put 6 past you.

Is that acceptable?
 
Niliposema hapa manjesta soon ataaanza kugombea nafasi ya europa nilitukanwa Sana

Sasa Spurs akishinda kesho anawashusheni had nafasi ya 5

Binafsi Bado Sion utofauti mkubwa wa 7+3hag na Ole Gunnar Sosha

Kama Kuna mchambuzi nguli aje anipe utofauti kimbinu ,Tena Mimi namuelewa Sana Ole Gunnar

Leo easily kabisa Newcastle wangeweza kushinda hata 7

Ninaposikia Eti Bado anamng'ang'ania Degea ,unaona kabisa Ni kocha muoga Sana kimaamuzi

Hata kumuondoa CR7 Ni Hadi pale Alipoambiwa Haheshimiwi ,lakini tukio la Kwanza la Cr7 kuondoka baada ya Sub hakutakiwa kucheza Tena .

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini huyu kocha wenu ana tofauti kubwa na waliopita

Geoff Lea mshabiki nguli wa manjesta analalamika kila siku kuhusu Degea na Uwezo wa 3+7hag , anaishia kutukanwa Sana
Umeongea ujinga mtupu hamis77 . Nadhani huna zaidi ya miaka 7 toka uanze kushabikia mpira.
1. Kocha tayari ana Carabao (hakuna timu yoyote yenye kikombe mwaka huu)
2. Anasubiria kwenda finaly FA (arsenane alitolewa siku nyingi sana)
3. Anasubiri fainaly ya Europa

Makombe matatu anategemea msimu huu. Arsenane akifungwa ile mechi na Man City difference inabaki point 2 ha haaaa. Ikiwa bado mechi 9. Ni mjinga pekee anayewaza ubingwa akiwa na difference ya point 2 na bado mechi 9.

Mjinga kama hamis77 bado anaamini kile kikatuni kinarukaruka kwenye touchline ni kocha. Mwaka huu patupu tena fukuza kocha huyooooo.
 
Hata niliposema Anthony mmepigwa mlisema mie na chuki mwisho wote mliimba wimbo mmoja humu
You’ve conceded more goals than the worst Liverpool team of the decade and scored less goals. You have one league cup with the easiest draw of OAT to compensate.

Is this sounding like an era or Mourinho 16/17?
Jamani hivi viingereza. Kama hujui lugha achana nayo.
giphy.gif
 
Hata niliposema Anthony mmepigwa mlisema mie na chuki mwisho wote mliimba wimbo mmoja humu
You’ve conceded more goals than the worst Liverpool team of the decade and scored less goals. You have one league cup with the easiest draw of OAT to compensate.

Is this sounding like an era or Mourinho 16/17?
Nafikiri Erik ni firm decision maker kuliko Ole

Ole alikua hajui wapi pa kushambulia wapi pa kupaki basi yeye aliamini united inastahili kutamkwa kwenye sentensi moja na timu kama Bayern, Madrdi au City. Erik yeye ameopt kupaki basi na kutegemea zaidi counter, ameamua kukubali kwamba kikosi chake hakitoshi.

Huko kukubali ni alarming hata hivyo ukizingatia ametumia pesa nyingi kuimarisha kikosi.

Kuna wachezaji Erik anawaweka bench ila kwa Ole walikua ni starters hata iweje. Wote Erik na Ole wanajiamini kwenye hamna mfano choices zao za STs wa kuwasaidi kufunga wote wamekua hovyo kwenye hili.

Hata hivyo Erik bado anatakiwa kuprove kwenye swala la mbinu. Ni ngumu kidogo kuamini counter ikupe maisha kwa muda mkubwa
 
Kocha wenu mnayemuona bora kabisa alikanyagwa na Arsenal mbovu
Na Chelsea ikabeba makombe ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UEFA SUPER CUP na WORLD CLUB CUP na Arsepimbi hiyo hiyo iliyomfunga Kocha mbovu wa Chelsea FC.

Kweli kosa mali ila si akili, jionee CV ya Kocha bora TT hapa we Arsepimbi
JamiiForums1137428892.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Luke Shaw confirms an agreement is imminent over new deal: “I’m close to a new contract. Nothing has been signed yet. We’ve agreed certain things. We’ll take it from there”, told Sky.

New deal will be valid until June 2027, to be signed soon with Manchester Utd to approve it.

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230402_233531_018.jpg
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaaaa
 
Kocha wenu mnayemuona bora kabisa alikanyagwa na Arsenal mbovu
3-2 tena kwa goli la offside?? Yaani aserpimbi wajinga sana kuna shabiki anajiita Hamis77 nahisi bado ni mtoto kutwa anaongea pumba tu
 
Umeongea ujinga mtupu hamis77 . Nadhani huna zaidi ya miaka 7 toka uanze kushabikia mpira.
1. Kocha tayari ana Carabao (hakuna timu yoyote yenye kikombe mwaka huu)
2. Anasubiria kwenda finaly FA (arsenane alitolewa siku nyingi sana)
3. Anasubiri fainaly ya Europa

Makombe matatu anategemea msimu huu. Arsenane akifungwa ile mechi na Man City difference inabaki point 2 ha haaaa. Ikiwa bado mechi 9. Ni mjinga pekee anayewaza ubingwa akiwa na difference ya point 2 na bado mechi 9.

Mjinga kama hamis77 bado anaamini kile kikatuni kinarukaruka kwenye touchline ni kocha. Mwaka huu patupu tena fukuza kocha huyooooo.
Carabao same to mapinduzi cup, FA na Europa ondoa hayo mawazo , vinginevyo utaishia kumtukana kocha
 
Niliposema hapa manjesta soon ataaanza kugombea nafasi ya europa nilitukanwa Sana

Sasa Spurs akishinda kesho anawashusheni had nafasi ya 5

Binafsi Bado Sion utofauti mkubwa wa 7+3hag na Ole Gunnar Sosha

Kama Kuna mchambuzi nguli aje anipe utofauti kimbinu ,Tena Mimi namuelewa Sana Ole Gunnar

Leo easily kabisa Newcastle wangeweza kushinda hata 7

Ninaposikia Eti Bado anamng'ang'ania Degea ,unaona kabisa Ni kocha muoga Sana kimaamuzi

Hata kumuondoa CR7 Ni Hadi pale Alipoambiwa Haheshimiwi ,lakini tukio la Kwanza la Cr7 kuondoka baada ya Sub hakutakiwa kucheza Tena .

Mimi nitakuwa wa mwisho kuamini huyu kocha wenu ana tofauti kubwa na waliopita

Geoff Lea mshabiki nguli wa manjesta analalamika kila siku kuhusu Degea na Uwezo wa 3+7hag , anaishia kutukanwa Sana
Ole gunner hana kikombe miaka yake 5+ aliyokaa hapo Ten Hag alishanyanyua kwapa

usijikute unaifahamu sanaa timu yetu Sheikh... Uchambuzi uchwara wako tumeuchoka uko bias... so tulia tuu
 
Back
Top Bottom