D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,636
- 121,032
Mechi zote tatu tulizocheza nao wamekuwa bora physicalityPhysique ya wachezaji wa newcastle imewashinda kwa kiasi kikubwa man u leo
Mechi zote tatu tulizocheza nao wamekuwa bora physicalityPhysique ya wachezaji wa newcastle imewashinda kwa kiasi kikubwa man u leo
Msimamizi wenu wa mazoezi (10hag) ananifurahishaga sana. Timu ikifungwa utamuona anaandika andika kwenye kikaratasi, kama ana mbinu vile




Hahahaha fuatilia chiefYana ukweli haya?
Tumecheza mechi 3 za premier league tokea february 19.Hahahaha fuatilia chief
Tumebakiza mechi mbili za kusokotwa eneo la midfield.
Aston villa na brighton.
Tuombe uhai inshaallah
Jumatano haipo mbali inshaallahNani kakudanganya, even brentford will send you in troubles

Fukuzeni kochaTumecheza mechi 3 za premier league tokea february 19.
Tuna mechi 3 za ligi hatujafunga goli
- Tumefungwa saba dhidi ya liverpool
- Tumetoa suluhu dhidi ya southampton
- Tumefungwa dhidi ya newcastle united



Astonvilla mnacheza nao lini ? Aisee Unai Emery toka aondoke Arsenal naona alienda kupitia Tena madesa yakeTumebakiza mechi mbili za kusokotwa eneo la midfield.
Aston villa na brighton.
Tuombe uhai inshaallah


Wewe takataka wa chelsea bado unaendelea kumshikilia potter?
