Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nafikiri Erik ni firm decision maker kuliko Ole

Ole alikua hajui wapi pa kushambulia wapi pa kupaki basi yeye aliamini united inastahili kutamkwa kwenye sentensi moja na timu kama Bayern, Madrdi au City. Erik yeye ameopt kupaki basi na kutegemea zaidi counter, ameamua kukubali kwamba kikosi chake hakitoshi.

Huko kukubali ni alarming hata hivyo ukizingatia ametumia pesa nyingi kuimarisha kikosi.

Kuna wachezaji Erik anawaweka bench ila kwa Ole walikua ni starters hata iweje. Wote Erik na Ole wanajiamini kwenye hamna mfano choices zao za STs wa kuwasaidi kufunga wote wamekua hovyo kwenye hili.

Hata hivyo Erik bado anatakiwa kuprove kwenye swala la mbinu. Ni ngumu kidogo kuamini counter ikupe maisha kwa muda mkubwa
Ole kwa ETH hawezi mfukia kimbinu Ole alisajili mastreiker kina Ighalo, Cavani na Ronaldo akashindwa kuwatumia yaani anamuweka benchi Ighalo dhidi ya Martial the same kwa Cavani Ighalo huko Saudi anayatupia tu kamzidi hadi CR7.
 
Umeongea ujinga mtupu hamis77 . Nadhani huna zaidi ya miaka 7 toka uanze kushabikia mpira.
1. Kocha tayari ana Carabao (hakuna timu yoyote yenye kikombe mwaka huu)
2. Anasubiria kwenda finaly FA (arsenane alitolewa siku nyingi sana)
3. Anasubiri fainaly ya Europa

Makombe matatu anategemea msimu huu. Arsenane akifungwa ile mechi na Man City difference inabaki point 2 ha haaaa. Ikiwa bado mechi 9. Ni mjinga pekee anayewaza ubingwa akiwa na difference ya point 2 na bado mechi 9.

Mjinga kama hamis77 bado anaamini kile kikatuni kinarukaruka kwenye touchline ni kocha. Mwaka huu patupu tena fukuza kocha huyooooo.
Msimu ujao mtacheza Europa ,

Huyu mnayedanganyana humu Ni kocha Ni dalali wa Ajax
 
Ole gunner hana kikombe miaka yake 5+ aliyokaa hapo Ten Hag alishanyanyua kwapa

usijikute unaifahamu sanaa timu yetu Sheikh... Uchambuzi uchwara wako tumeuchoka uko bias... so tulia tuu
Hawa itakuwa wanamuogopa ETH wanajua msimu ujao atakuwa kikwazo kwao baada ya kuleta straiker, beki na midfilder.
 
Ole kwa ETH hawezi mfukia kimbinu Ole alisajili mastreiker kina Ighalo, Cavani na Ronaldo akashindwa kuwatumia yaani anamuweka benchi Ighalo dhidi ya Martial the same kwa Cavani Ighalo huko Saudi anayatupia tu kamzidi hadi CR7.
Ronaldo hakumsajili yeye mlimletea , Kuna tofauti gan Kati ya Ghost na Ighalo?

Ole aliweza kumaliza 3rd na 2nd EPL , huyu ETH ataishia kugombea top 4 ,kimbinu Ni mweupe Sana

Amejaa maneno mengi kuliko vitendo

IMG_20230402_213606.jpg
 
Huo ndio unaona utofauti? Muda utaongea
Bro upo bias... nashangaa unatumia muda wako kuandika mabandiko marefu kwa chuki yako yan hata tufanye vip wewe upo kama mpondaji tuu.... huo upumbavu unaoandika kila siku ungana na kundi la watukanaji tujue moja..

Sisi tuna kauli yetu Trust the process usingemuamin arteta ungekuwa ushamtimua

mmekaa na timu yako mnakula vipigo mnajifunza mnatulia... Now mnaona matunda

anyways we all born Manchester United Fans unatumia haki yako ya kikatiba shabiki wa kuzaliwa nayo
 
Hawa itakuwa wanamuogopa ETH wanajua msimu ujao atakuwa kikwazo kwao baada ya kuleta straiker, beki na midfilder.
Unaanzaje kumuogopa Eth ? Kocha ambaye hata kusajili hawezi, Huyo Striker ,beki na Midfielder wepi?

Huyu si alipewa €250m za usajili akawaletea Anthony kwa €100m , beki malacia ambaye Hana namba ,na wazee kina eriksen

Huyu hata usajili anategemea waholanzi na ligi ya Erevedise ,

Jana kaongea Sana kabla ya mechi ,mechi imeanza timu inakimbiakimbia
 
Bro upo bias... nashangaa unatumia muda wako kuandika mabandiko marefu kwa chuki yako yan hata tufanye vip wewe upo kama mpondaji tuu.... huo upumbavu unaoandika kila siku ungana na kundi la watukanaji tujue moja..

Sisi tuna kauli yetu Trust the process usingemuamin arteta ungekuwa ushamtimua

mmekaa na timu yako mnakula vipigo mnajifunza mnatulia... Now mnaona matunda

anyways we all born Manchester United Fans unatumia haki yako ya kikatiba shabiki wa kuzaliwa nayo
Nipo bias au nasema ukweli?

Wakati tunasema Anthony mmepigwa hakuna mchezaji ,si mlisema hivi hivi tupo bias ?

Muda utaongea ,
 
Ole kwa ETH hawezi mfukia kimbinu Ole alisajili mastreiker kina Ighalo, Cavani na Ronaldo akashindwa kuwatumia yaani anamuweka benchi Ighalo dhidi ya Martial the same kwa Cavani Ighalo huko Saudi anayatupia tu kamzidi hadi CR7.
Ndiyo nikasema wote wana maamuzi sawa kwenye swala la ST.

Ole alimtafuta Ighalo na Cavani. Ronaldo akaja baadaye. Erik kamtafuta Weghorst sioni utofauti wa Weghorst na Ighalo
 
Kimbinu 7 hag hamfikii Thomas Frank, Di zerbi, Eddie Howe ,

Van gaal alichukua FA mkamfukuza itakuwa huyu had Sasa ana GD 4
Eddie Howe watakua wako sawa. Mi naona tabia yake ya kujigamba ndiyo inamfanya asikubalike sana na wapinzani.
 
Bro upo bias... nashangaa unatumia muda wako kuandika mabandiko marefu kwa chuki yako yan hata tufanye vip wewe upo kama mpondaji tuu.... huo upumbavu unaoandika kila siku ungana na kundi la watukanaji tujue moja..

Sisi tuna kauli yetu Trust the process usingemuamin arteta ungekuwa ushamtimua

mmekaa na timu yako mnakula vipigo mnajifunza mnatulia... Now mnaona matunda

anyways we all born Manchester United Fans unatumia haki yako ya kikatiba shabiki wa kuzaliwa nayo
Matunda gani wakati wametolewa europe wakiwa nyumbani legue enyewe bado.
 
Chelsea na United hazijawahi kua na tatizo la wachezaji. Zote zina tatizo la kocha.

Mara nyingi nilikua nasema hivyo. Yaani ni kwamba hizo timu hata zikipata average coach mwenye mentality ya ushindi ni rahisi kuziona zinaperform. Tuchel kwa Chelsea alienda kuwabadili mentality players and wakacheza jihad.

Shida ya mentality ni kwamba haitokaa milele ndiyo sababu msimu huu ulipoanza chelsea was in shambles. Kisha Tuchel akaprove kua miyeyusho kumuachia Rudiger n.k

So what if mentality anayoinstill Erik kwa united itarun out na atahitaji kustep up kimbinu? Nafikiri tutashuhudia mno matokeo kama ya jana.
Una Winger wa 70+M Sancho, una winger wa 100M Antony. Una winger/ ST anayesema anastahili 500,000 kwa wiki you just need mentality hapa.
 
Wanasema tusubiri apewe watu anaowataka
 
mkuu kwahiyo Arsenal mnakocha?
 
mkuu kwahiyo Arsenal mnakocha?
Ukimlinganisha Arteta na Lampard na Ole alioanza nao kazi sawa, na Erik kwa sasa Arteta kawaacha.

Hii ni kwa kuzingatia kikosi ambacho kila mmoja alikikuta, decision making, support ya mmiliki na culture ya timu husika.
 
sawa mkuu, tunawasubiri kwa hamu sana na najua mnajua hilo....

Hahahaha mtakimbia majukwaa yote.
 
Back
Top Bottom