Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ana kichwa kama ugali!😁
20221022_201927.jpg
 
Tumebakiza mechi mbili za kusokotwa eneo la midfield.

Aston villa na brighton.
Tuombe uhai inshaallah
 
Tumecheza mechi 3 za premier league tokea february 19.
  • Tumefungwa saba dhidi ya liverpool
  • Tumetoa suluhu dhidi ya southampton
  • Tumefungwa dhidi ya newcastle united
Tuna mechi 3 za ligi hatujafunga goli
Fukuzeni kocha
 
Tumebakiza mechi mbili za kusokotwa eneo la midfield.

Aston villa na brighton.
Tuombe uhai inshaallah
Astonvilla mnacheza nao lini ? Aisee Unai Emery toka aondoke Arsenal naona alienda kupitia Tena madesa yake

Astonivilla Wana mpira wakisasa kabisa , ukienda kibwege wanakupiga vzr kabisa

Jana nimewaangalia wanafanya buildup kuanzia chini wanashambulia kwa haraka , wanakaba kwa pamoja

Toka ameichukua timu Emery Ni Arsenal na city tu ndio wamemzidi kukusanya points
 
Leo niliona wingu jeusi upande wetu ndo maana hata sikutaka kuleta prediction.

Msiwaze bado tupo vizuri sana ili giza ndo linaishia leo

Mizimu ilisha tuambia tukubali kufungwa na Newcastle fainal ya carabao au kwenye ligi tuchague moja tuka chagua kupoteza kwenye ligi hata msiwaze bado tupo vizuri.
 
We utakua na chuki tu na ten Haag
Huwez kumfananisha ten Haag na OGS, na hio thin line unayozungumzia ni ten Haag anambinu zaid ya OGS period
Hata niliposema Anthony mmepigwa mlisema mie na chuki mwisho wote mliimba wimbo mmoja humu
You’ve conceded more goals than the worst Liverpool team of the decade and scored less goals. You have one league cup with the easiest draw of OAT to compensate.

Is this sounding like an era or Mourinho 16/17?
 
Back
Top Bottom