Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Levy ni mjeuri kinoma. Wote tunataka Harry Kane ila tunajua sisi Gunners hata tuwape squad yetu nzima na 100m yeye atupe Kane hatokubali. Tunajipooza Kwa kuwakumbusha Spurs kuwa Kane ni boyhood Gunner
Arsenal kama mzigo upo mchukueni Osimhen atawafaa sana kwa aina ya wingers mlionao.
 
Kuna mstari mwembamba Sana Kati ya Ole Guna na 7 hag

Ni swala la muda wote mtaimba wimbo mmoja humu

IMG_20230403_203509.jpg
 
#MUFC are expected to listen to offers for Dean Henderson this summer.


[Samuel Luckhurst]
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230403_225343_023.jpg
 
Daaah bro hutaki tushinde kisa Hamis77? Acha hizo Mzee si Lazima tuwapige madongo? Au tumkane Hamis Ili usituombee Dua mbaya? Huu ubingwa hatujaugusa miaka mingi sana aisee acha tuuonje japo kidogo
huyu jamaa yenu anakera...

yan kama katumwa na graza kuwatetea😬😬😬


Sema me sina iyana.. mbebe tuu
 
Hiki ndio kitu kinanifanya mara nyingi nisiziamini sana takwimu. Wewe mwenyewe unajua EtH ni kocha mzuri kuliko Ole.
Hapana aisee ,Mimi Nina mazuri mengi ya Ole aliyofanya ,ila alikosa sapoti

Ole hakuwa muoga kuwapa nafas vijana , ole alitaka atengeneze MF ya Bellingham na CF Halland mkamfitini

Ole alikosa uzoefu tu na ndio alichozidiwa na Ten hag

Kumbuka alicheza fainals ,nusu fainals , alikuwa 2nd EPL , unaona kabisa uzoefu ulimgharimu kubeba mataji

Lakini hawana tofauti kubwa na Ten hag,


Na Uzoefu angeupatia kwenye kazi humo humo
 
Back
Top Bottom