Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daaah bro hutaki tushinde kisa Hamis77? Acha hizo Mzee si Lazima tuwapige madongo? Au tumkane Hamis Ili usituombee Dua mbaya? Huu ubingwa hatujaugusa miaka mingi sana aisee acha tuuonje japo kidogo
Hii ndiyo sababu kwanini sitaki kuona Arsenal wakibeba ubingwa wa EPL.

Bora iwe Three-peat kwa City tu.

Sasa sisi kupata easiest draw kwenye League Cup hiyo ni shida yetu? The so called "the best teams" zote zimetolewa mlitaka tucheze na nani kama wote mmetolewa!?

EtH & Anthony ndiyo wana msimu wa kwanza, kipindi mnaimba #ArtetaOut mmeshasahau?
 
20230403_150353.jpg
 
There are informed people in the industry who are adamant Levy will not sell Harry Kane, no matter what offers arrive. #mufc are assessing various options - checks have been made on Victor Osimhen, Goncalo Ramos and Evan Ferguson.
 
Levy ni mjeuri kinoma. Wote tunataka Harry Kane ila tunajua sisi Gunners hata tuwape squad yetu nzima na 100m yeye atupe Kane hatokubali. Tunajipooza Kwa kuwakumbusha Spurs kuwa Kane ni boyhood Gunner

SELL

Maguire
Martial
McTominay
Donny
Baily
Tuanzebe
Williams
Telles
Henderson
Heaton
Dalot

Weghorst
Sabitzer
Butland
Jones

United bila roho mbaya kazi itamshinda EtH, kuna viazi wengi sana.
 
Levy ni mjeuri kinoma. Wote tunataka Harry Kane ila tunajua sisi Gunners hata tuwape squad yetu nzima na 100m yeye atupe Kane hatokubali. Tunajipooza Kwa kuwakumbusha Spurs kuwa Kane ni boyhood Gunner
Arsenal kama mzigo upo mchukueni Osimhen atawafaa sana kwa aina ya wingers mlionao.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]make kwanza Nicheke

[emoji599] NEW:

Erik ten Hag is becoming increasingly impatient with Jadon Sancho.

@samuelluckhurst #MUFC
JamiiForums1386045595.jpg
 
Back
Top Bottom