Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,574
Msamehe mkuuChelkenge toka msimu unaanza mmesajili January mkasajili, Cha ajabu hatuoni Chemistry Wala Biology
Kikosi Cha €500m unataka chemistry ya wapi?
Msimu unaisha huu bado mnasaka biology na chemistry?
Pale timu huna ,kocha huna
Spurs kakubomoa na wazee wake na yupo kugombea top 4 , wewe unagombea usishuke daraja
Unafananishaje huu mfano na Everton kumfunga Arsenal