Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,750
- 5,643
Haibu ndy Nini?mnaingiza tim uwanjani ili mfanyaje sasa kama mmepigwa bao 7 bila kujitetea ii ni haibu n'gosi[emoji1787]
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Haibu ndy Nini?mnaingiza tim uwanjani ili mfanyaje sasa kama mmepigwa bao 7 bila kujitetea ii ni haibu n'gosi[emoji1787]
Kwa Lugha rahisi ni kuwa "Brandon Williams amenyakwa na kamera akivuta hewa toka kwenye Puto karibu na uwanja wa mazoezi wa Man United"What does this mean mkuu.
Nimeachwa hapo sijaelewa
Hii mechi ilichezwa lini?wapi? Yaani 7 bila kukuruka huo ni ufwala....Tulizidiwa hafu nataka mni jibu mnaenda Kufanya nini Uefa kwa aibu hii mnayoleta?
Kwenye ligi ya Epl.View attachment 2569811
Sasa mbona unanitole mihasira yako mimi[emoji856],kwani mimi ndio nilikushindilia 7 kwa nunge!!!!????Wewe ni mbwakoko Barcelona ya Messi ilikula 8 dhidi ya Bayern Munich tatizo lako huna akili mjinga wewe
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app