Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii game Liva anahitaji ushindi kuliko United.

Lakini sijaona akifanya necessary changes zinazomaanisha anauhitaji ushindi. Ama labda anahisi mara ya kwanza kuna step alikosea au ni vile hana mbadala
 
Mashabiki wanakuambia timu yao inaweza ifunga timu yeyote Europe.

Lakini timu yao ikicheza na timu decent inapaki basi na kusubiri kaunta, mpaka dk hii Liva anamiliki mpira ila ni united ndiyo amepata chances 2.

Midtable teams zote zikicheza na decent opponent hivi ndivyo wanavyofanya wanapaki basi wanasubiri kaunta but they rarely get outta their way and start claiming they can beat anyone.
 
Kila game ina plan yake, inaonekana umeathirika sana na mpira wa simba na yanga
 
Back
Top Bottom