King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,987
Huyu ten hag Kuna mda unasema ana akili, lakin ukimfatilia Vizuri sana na Hilo bichwa lake utagundua ana bichwa kubwa akili kijiko, hii game walistahili kuanza bissaka na malacia.
Kuna mijitu inamkubali na kutupa imani kua jamaa anakaba sana, sasa hapo anamkaba nani?Werghost mzito sana, wanasema chakula chake ni ULIMBO
Hata mi nahisi hivyo aisee,Au Liverpool wametuchanganya na Madrid kwa hizi jezi nyeupe? 😂
Mmekutana na kina chalton , reading, mkadanganyana mna timu ya ubingwaFans wa united wala tusikate tamaa kwa haya matokeo,timu yetu imecheza mechi nyingi sana za malengo ndani ya kipindi kifupi ukilinganisha na liverkuku. Fatigue inatuua sio kwa uchezaji huu. Tuko slow sana,possession hadi case anapokonywa kirahisi tu.
Let's wait for full Time bado lipo tumainiMgosi vipi tena?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], mkuu acha matusiHuyu ten hag Kuna mda unasema ana akili, lakin ukimfatilia Vizuri sana na Hilo bichwa lake utagundua ana bichwa kubwa akili kijiko, hii game walistahili kuanza bissaka na malacia.