Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
maneno ya kujifariji hayo!
Na Moyes hatashinda kikombe chochote mpk anafukuzwa pale Old toilet
Hawa bana sijui wanangojaxnini kufukuza huyu kocha
Last edited by a moderator:
maneno ya kujifariji hayo!
Na Moyes hatashinda kikombe chochote mpk anafukuzwa pale Old toilet
namuulizia Rutashubanyuma simwoni kwenye hili timbwili timbwi
Naomba ruhusa ya kunakili hiyo methali kwenye twita akaunti yangu...hahahahahahahahhahahaha
Methali methali:ikishinda ya 7 ikifungwa ya 7???
you are taking man u too much serious while the managger of man u dm is not serious enough so y should i,ok back to the topic kuuliza si ujinga nitoe ujinga moyes amecheza mpira au hajacheza na kama alicheza ilikuwa na. Ngapi??
You can sign all world class players You like....But without a competent manager...there will be NO SUCCESS!!!
Daah! Man Utd.. wakati mgumu huu!
Daah! Man Utd.. wakati mgumu huu!
Naona mlivyojazana humu, mnadhiirisha usemi wangu, kwamba mashabiki wengi ufurahia United kufungwa kuliko wanavyofurahi timu zao zikishinda!
Na kuna watu walisema hawaongei na walio nje ya top 4; lakini ajabu wao ndio wamejazana kwenye jukwaa la timu "inayopigania relegation".
Anyway, furaha yenu ndio chachu ya kunifanya nizidi kuipenda #ManUnited
Na mnatamani kweli DM afukuzwe; mimi nawaambia, mtasubiri sana. DM ndo keshafika.

......mnh! #DaudiMuya asipokutoa Roho mwaka huu basi japo Mvi atazijaza kichwani mwako babbaake!
hivi moyes ana historia ya kucheza mpira?? Maana inawezekana ikawa tunamuonea bure kumbe mpira kausomea tu ukubwani.anatupa tabu sisi ambao toka tumezaliwa tunacheza mpira .
You can sign all world class players You like....But without a competent manager...there will be NO SUCCESS!!!
Khee DM kishafika? Aisee mna roho ngumu sana
Di Matteo hakuwa Competent Manager lakini alibeba UEFA Champs League kazi ambayo Competent Manager menu(Mr Bean) ameshindwa kwa miaka yake yote ya ukocha