Meli ikianza kuzama panya wanakuwa wa kwanza kuchumpa majini. Soma hii habari Premier League: Anderson: Lots of United players want out | Football News | ESPN.co.uk watu kibao wameshaanza kuangalia maslahi yapo wapi.
Hiyo habari Ando kaikanusha, hasa juu ya wachezaji kutaka kuondoka. Ila ni kweli yeye anataka kubakia Firenze.
Kakanusha kisa bado analipwa ila ngoja akamilishe uhamisho permanent atasema yote...!
Kakanusha kisa bado analipwa ila ngoja akamilishe uhamisho permanent atasema yote...!
Yeah, Kakanusha lakini hawezi kuwa mchezaji wa kwanza kukanusha alichokisema ili kulinda maslahi na sura yake. vile vile unaweza kukuta kuna ukweli furani. Lazima patakuwa na wachezaji wasio na furaha hasa ukizingatia mwenendo wa Man utd msimu huu, pia wachezaji wasiopati namba eg Nani, Kagawa watakuwa wanawaza la kufanya msimu ujao.
Sasa kama unafahamu kakanusha, mbona hukuja ku-update post yako hipocrita?
"Lazima patakuwa na wachezaji hawana furaha", wewe umejuaje?
Nani ni majeruhi...Kagawa uwa anapewa nafasi anaitumia vibaya...jamaa ni mkali mno, ila ni kama mfumo wa United umemkataa....DM kampa sana mechi, lakini hafanyi vizuri sana kama inavyotarajiwa.....ila agent wake juzi alisema Shinji hana mpango wa kuondoka United...
Hivi, wachezaji wa goons wana furaha kweli kwa kukaa miaka 9 bila kikombe hata cha chai?!?
Naona life ya kushabikia na kufuatilia Man utd ni very stressfull. Jazba kibaooo
Could it be more stressful than staying 9 years chasing shadows of EPL, UCL, FA and even LC champions?!?
Nyie mlikuwa mnabebwa na marefa na SAF kupigapiga simu FA,mwaka huu ndo tutajua ukweli.........
Punguza pumba kuwafunga Arsenal goli 6,au 8 hautaji kubebwa nafikiri Man City amewafunga tena sijui nao waliwapigia simu marefa.Morinyo alikuja akabeba ubingwa mara 2 akaondoka amerudi tena Wenger bado anasindikiza,Soon mtafata nyayo za Liverpool
Meli ikianza kuzama panya wanakuwa wa kwanza kuchumpa majini. Soma hii habari Premier League: Anderson: Lots of United players want out | Football News | ESPN.co.uk watu kibao wameshaanza kuangalia maslahi yapo wapi.
Acha kuweweseka wewe Man U ndio wanaofuata nyayo za liverpool beilieve it or not mnaanza kuchezea nafasi ya saba tu na sasa hivi mtaanza kutulezea historia ileile kama ya liverpool kwamba mnaongoza kwa kuchukua vikombe but at the end of the day Namba 7 ni yenu tu.
So ni ukweli kuwa mnafuata nyayo za liverpool na mpaka mje kugundua hilo itakuwa ni baadae sana.
Liverpool hawajachukua EPL miaka 25,Arsenal hawajabeba EPL miaka 9
Man United ndio bingwa mtetezi huenda wasichukue ubingwa msimu huu,na msimu huu wamebadilisha kocha.Kama unajuwa hesabu jibu liko wazi nani anafuata nyayo za Kop.Tatizo Mr Bean amewaziba macho mmekuwa blind hamuoni hilo,mnaona kumaliza namba 3 au 4 ni sawa na ubingwa