Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Methali methali:ikishinda ya 7 ikifungwa ya 7???
Hahaa hii imenifurahisha sanaaaaaa....tuiingize kwenye mtaaala
Methali methali:ikishinda ya 7 ikifungwa ya 7???
yaani yule hata akabidhiwe barca leo hii barca itapata tabu kuingia top four.Niliwambia mfukuzeni huyo DM Hamna kitu!
vanmarooney
Hahaa hii imenifurahisha sanaaaaaa....tuiingize kwenye mtaaala
Wewe unajua vigezo gani vilitumika kumwajiri Moyes kuwa kocha wa Man United?hivi moyes ana historia ya kucheza mpira?? Maana inawezekana ikawa tunamuonea bure kumbe mpira kausomea tu ukubwani.anatupa tabu sisi ambao toka tumezaliwa tunacheza mpira .
hivi moyes ana historia ya kucheza mpira?? Maana inawezekana ikawa tunamuonea bure kumbe mpira kausomea tu ukubwani.anatupa tabu sisi ambao toka tumezaliwa tunacheza mpira .
Wanaosema Mata mbona hajafanya kitu, nahisi walikuwa hawaangalii gemu...Mata ndiye MOTM kwa United leo....kila mpira ulikuwa unapelekwa kwake....kuna chances nyingi alipewa Welbeck, lakini alifanya madudu....Cleverly alipewa pasi dakika za majeruhi, akabutua...
Ingawa, ni kweli kuumia kwa Evans na Jones kulivuruga timu...na DM kumuingiza Welbeck kama mbadala wa Jones ilikuwa ni kosa kubwa mno...pale angeingia Darren....ili Darren angeenda pale CB, na Carrick angebaki CM, ili Rooney awe mbele....Rooney alivyorudi pale CM, basi mambo yote yakafa....
Pamoja na makosa ya leo, bado nina imani kubwa na isiyotetereka kwa DM....bado naamini yeye ni chaguo sahihi kama meneja wa United....ataweka mambo sawa tu...ingawa kama mashabiki tutapitia wakati mgumu mno....
Akili za Mzee Akilimali hizi.
Na hapo goons nani aje kuokoa jahazi? Miaka 9 sasa, patupu. Imarati, neno, kombe la ubingwa, halipo kwenye msamiati, ati!
You can sign all world class players You like....But without a competent manager...there will be NO SUCCESS!!!Of course, it is apparent that #JuanUnitedMata isn't the complete solution, but his sign was just to send a message to those who have been saying United can't attract top class players...and also it was for lifting moral and support from the players and fans....
....
Wewe unajua vigezo gani vilitumika kumwajiri Moyes kuwa kocha wa Man United?
Uliza uambiwe.
Akili za Mzee Akilimali hizi.
Ruksa mkuu wewe tu na roho yako........Naomba ruhusa ya kunakili hiyo methali kwenye twita akaunti yangu...hahahahahahahahhahahaha