Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,912
- 10,262
Di Matteo alijua utamaduni wa Chelsea; amecheza timu hiyo pia anajua timu ili ishinde inahitaji mambo gani.
Nyinyi majirani zetu poleni sana DMOYES, hajui .. mngekuwa na Steve Bruce, Eric Cantona au Mark Hughes hali ingekuwa tofuati kwa sababu hao wanajua United huwa inafanyaje kushinda; poleni ndo mpira kuna wakati unakua juu kuna wakati unabaki chini;
Utamaduni wa kupaki bus? Hebu tuambie Di Matteo alikuwa anajua Utamaduni wa gani wa Chelsea na kwa nini alifukuzwa?
Jose Morinyo hajacheza kabisa soka aliujua wapi utamaduni wa Chelsea
Binafsi nilitegemea SAF akiondoka timu itatetereka, still naamini Moyes anahitaji muda