Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siwaamini sana washambuliaji wanaotoka ligi ya serie A pindi wanapokuja premier league.

Kwa nini osimhen dhidi ya harry kane?
Ondoa hoja ya umri.
 
Casemiro atakosa four straight games. Niliwaambia huyu jamaa ni mzito hio ligi haiwezi anafanya late tackles sababu timing yake mbovu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hujajua mpira..wewe kaa kimya. Timu nzima mtu muhimu ndio huyo. Ile red ya mwanzo hakucheza mechi 3 tulichemsha sana sana.
 
Jamaa ni mzuri, mzuri sana. Haruhusu mabeki wale waanzishiane mpira pale nyuma anakaba sana. Ni mtu sana, anajua sana kukaba na kukimbia muda wote.
Huaminiki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Timu inahitaji ushindi kujiweka sawa kwenye msimamo,wachezaji wanatafuta rekodi binafsi, "patamu hapo". 10 Hag akishindwa kuliweka sawa ili jambo litatupa shida sana.
Kocha anachelewa sana kufanya sub!
 
No Man u tusijifariji ujinga kwa form ya Southampton msimu huu hii mechi tumefell na mbele tutaikumbuka point tatu za bure leo tumeziacha

Mpira umeujulia ukubwani au unaweza kupiga dana dana hata 100 kwa mguu mmoja…
Listen Mkuu tumecheza pungufu wachezaji 10 kwa dk 60… so km hauto show same respect basi tulia
 
Hujajua mpira..wewe kaa kimya. Timu nzima mtu muhimu ndio huyo. Ile red ya mwanzo hakucheza mechi 3 tulichemsha sana sana.

Wengine usiumize nao kichwa mkuu mpira wameanza kufuatilia juzi
Mtu kabisa anakili zake timamu anakwambia Casemiro mzito mara oohh ni mzigo seriously?
While asipokuwepo kila kitu kinaenda ovyo
 
Mpira umeujulia ukubwani au unaweza kupiga dana dana hata 100 kwa mguu mmoja…
Listen Mkuu tumecheza pungufu wachezaji 10 kwa dk 60… so km hauto show same respect basi tulia
Angalia form ya timu na rank sisi tunamapungufu sana ila media zinatubeba ile timu ni mbovu ingekuwa timu nyingine tungefungwa
 
Back
Top Bottom