Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,795
Refa muda
Sisi SOUTHAMPTON DRAW kwetu ni Ushindi![]()

Ila Bruno anakauzembe fulani
"Dangerous play"
Lakini kuhusu Red card ya Casemiro wataalamu mnipe elimu, kwani Casemiro si alianza kuucheza mpira ukateleza ndio akamkanyaga mchezaji? Kuna dhamira hapo au ni vile alivyoonyesha meno ya kiatu?
Man United sio team nzuri km inavopewa promo for me NAPOLI is better saizi kuliko media zinavotuaminishaNow days kumfunga Man U … O.T haiwezekani






Mpumbaf sana huyu kocha. Nadhani huwa ana-list ya substitution zake kaziandaa kabisa. Hata game ichange vipi habadili mawazo. Case kapigwa red alitakiwa afanye sub za maana za haraka sana. Kamuingia Tominay halafu katulia. Kasubiri mpaka dakika ya 76 ndio anawaingiza Fecundo na Garnacho wakabadili kabisa mchezo.
kwa matokeo ya leo, alaumiwe kocha kwa kupanga timu kijinga kabisa.
"Out of Control"ambayo ina fall kwny category ya dangerous play...ni clear red card kbs.
Lakini kuhusu Red card ya Casemiro wataalamu mnipe elimu, kwani Casemiro si alianza kuucheza mpira ukateleza ndio akamkanyaga mchezaji? Kuna dhamira hapo au ni vile alivyoonyesha meno ya kiatu?
No Man u tusijifariji ujinga kwa form ya Southampton msimu huu hii mechi tumefell na mbele tutaikumbuka point tatu za bure leo tumeziachaHaya mamluki mnaruhusiwa kurudi mlipotoka
Game imeisha mlilokuwa mnalitaka halijakuwa
Old Trafford panaheshima yake