Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unacheza na kina reading , chalton , na timu nyingi zenye kariba hiyo unasifia ,

Mimi nipo hapa muda utaongea ,hata Conte wakati anashinda hivi nilibishiwa Sana na ule mpira wake wa ovyo
Wewe mbona unalalamika lalamika tuu kwenye nyuzi za watu? Kwanini unaumizwa na mafanikio ya utd, kwani we timu yako c inaongoza ligi? Hata icheze na Yanga lkn bado Man utd itabaki kuwa timu kubwa na Arsenal itabaki kuwa timu ndogo hata ikichukua ligi msimu huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sir Alex Ferguson aliwai kuchukua ubingwa kwa kumtegemea Valencia (mguu mmoja) na Rafael

Sir Alex Ferguson ndio muanzilishi wa falsafa ya full beki kutumika kama winga

Sir Alex Ferguson alimfanya young kuwa beki na winga
Achana naye mwehu uyo, kazi kulalamika lalamika tuu.
 
7-0?

Hapa hamna Cha kujitetea ,nyie ni wabovu tu ,

Shida yenu mnafichama kwenye matokeo ,angalia mmeshindaje ,sio kubahatisha

Mfano hiyo mechi mliyoshinda 3-1 vs Arsenal ,hakuna mpira wa maana au performance ambayo ilikuwa guarantee mna timu Bora
Yani ulipigwa chuma 3 na bado unasema tulibahatisha, huna akili wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
20230312_113126.jpg
 
Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]

Prediction

Manchester United 3 vs Southampton 0

[emoji355]11.00 jioni

[emoji2522] Old Trafford

Last match

Southampton 0 vs Manchester United 1

Wabetie Southampton kama hizo goal utawafungia wewe [emoji847][emoji847]

GGMU [emoji3590][emoji3590]
1678545932014.jpg
 
[emoji471] Premier League - GW27
[emoji739] Southampton
[emoji413] Sun, Mar 12, 17:00
[emoji909] Oldtrafford

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji909]️
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230312_130619_561.jpg
 
Sir Jim Ratcliffe remains confident of securing the ownership of #MUFC despite a competing bid from Qatar.

#𝐖𝐚𝐚𝐜𝐡𝐞𝐧𝐢𝐖𝐀𝐖𝐈𝐋𝐈[emoji847]

#Times
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230312_130555_819.jpg
 
Qatar considers purchasing Manchester United to be their top priority and they believe that they will be able to finalize the purchase soon.

#𝐖𝐚𝐚𝐜𝐡𝐞𝐧𝐢𝐖𝐀𝐖𝐈𝐋𝐈[emoji847]

#Romain_Molina
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230312_130553_624.jpg
 
[emoji537] Matchday mornings.


#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230312_153738_174.jpg
 
[emoji2390][emoji2388] years ago today, Darren Fletcher made his Reds debut [emoji94]

[emoji2391][emoji2392][emoji2390] appearances and countless trophies later, Fletch is a true United legend [emoji119]

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230312_153733_732.jpg
 
Back
Top Bottom