Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Player ratings

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230312_190613_761.jpg
 
Kenge nyie mnatoa Draw na Timu inayoburuza mkia,makima kweli nyie machoko

City alikufa kwa hao waburuza mkia
Hv football mnaijua kweli au ndo kizazi cha digital kila kitu kwenu mnaona rahisi,,,
Kuna draw zinafaida kuliko kupoteza
 
Kuwa na heshima na 10 Hag
Next season akipewa anachokitaka km ilivyo kwa Arteta maji mtaita mma
Arteta kagewa nini anachotaka? 😂😂😂

Huyu Erik kagewa mchezaji wa milioni 100, katumia zaidi ya milioni 250 kusajili unataka agewe nini zaidi? 😂😂

Ila mashabiki wa United mnanifurahisha sana nikiwa nasoma comments zenu
 
Arteta kagewa nini anachotaka? [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu Erik kagewa mchezaji wa milioni 100, katumia zaidi ya milioni 250 kusajili unataka agewe nini zaidi? [emoji23][emoji23]

Ila mashabiki wa United mnanifurahisha sana nikiwa nasoma comments zenu

Kagaiwa wachezaji anao wataka na kapewa muda wa kuitengeneza timu
Miaka miwili iliyopita ulikuwa huwezi kusimama ukajisifia wee ni Arsenane timu ambayo ina miaka takriban 8 haijawahi kucheza UEFA CHAMPION LEAGUE
mpira una njia zake dogo janja
 
Kama kawaida yetu uzembe ule ule kila Round ya pili ya msimu, Yani mechi za Kushinda ndio tunacheza fyongo mwisho wa siku tunaanza kupambania nafasi nne za juu wakati Presha tulikuwa rushaimaliza[emoji37].


Tottenham Hotspur huyo nyuma anatupumulia [emoji19][emoji20].

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Halafu wanadanganyana Arsenal ana kikos finyu , manjesta ana kikos kipana
Soton walikua na chances 3 ambazo naamini timu kama Brighton au Brentford wanascore 2 kati ya hizo.

Ila title contender wana mkwara wameanza na formation 4 1 4 1 huku DM casemiro. Very demanding hii formation
 
Kagaiwa wachezaji anao wataka na kapewa muda wa kuitengeneza timu
Miaka miwili iliyopita ulikuwa huwezi kusimama ukajisifia wee ni Arsenane timu ambayo ina miaka takriban 8 haijawahi kucheza UEFA CHAMPION LEAGUE
mpira una njia zake dogo janja
Na njia zake ni kukandamizwa 5 na Liva na kusema 'This is enough' kutumia zaidi ya milioni 250 ili kujiandaa naye tena na anakuja kukukandamiza 7 nunge.

Hizi kweli njia.
 
Uzuri wa Liverkuku a.K.a Liverfools hana dhamana ni km jana kapigwa na Bournemouth usishangae akafungwa tena na Leeds United [emoji23]
Yeye anamuaibisha man u tu, ndio mpinzani wake halisi
 
Alejandro Garnacho has left Old Trafford on crutches with his right foot in a boot.

[Simon Peach]

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230312_194742_511.jpg
 
[emoji860] Ten Hag on Casemiro’s red card: “Casemiro played over 500 games in Europe and never once got a red card. Now he has two in the Premier League. His absence is not the issue. We will deal with that. This game was influenced by the referee.”


#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Kuwa na heshima na 10 Hag
Next season akipewa anachokitaka km ilivyo kwa Arteta maji mtaita mma
Msimu huu wenyewe alipewa anachokitaka , €250m kachota €100m kaleta yule mtembea na mpira nyingine kamsajili mchezaji ambaye ameshindwa kutoboa kwa Shaw

Hii ni alarm Kwanza hajui kuona vipaji

Yule Pelisti ana uwezo mkubwa kuliko Anthony wa €100m
 
Casemiro atakosa four straight games. Niliwaambia huyu jamaa ni mzito hio ligi haiwezi anafanya late tackles sababu timing yake mbovu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mzee ile utaita late tackle?
Alikuwa on time ndio maana aliuchweza mpira, shida mpira aliuchapa kwa juu sio chini,ule mpira angeucheza chini isingekuwa ishu..
Mbona game nyingi kawasaidia man u.
Kwenye position yake ukitaja wachezaji wa5 katika epl nae hakosekani
 
Back
Top Bottom