Refa hawapendi man u
Dah sijui tu ila nadhani kuna wachezaji pia wanaonewa kuna watu wanapata namba kila siku lakini ukiwaangalia unaona kabisa nje kuna vijana wanaweza kuingia na kufanya vizuri.
Looks likely you gonna lose two consecutive games
Mc tominay for Whergost. Huyu kocha anamtunza Fred wa nini? Kwani mechi ya Alhamis si tumeshapita!. Pambaf.
Antony taylor akichezesha mech ya man u.Huyu refa wa leo atakuwa haipendi man united


Huyu mjinga na upara wake huwa simpendi kinoma.Antony taylor akichezesha mech ya man u.
Jua hapo kutoa ni mbinde
Huwa nikishamuona najua leo kaz tunayo![]()
Ivi casemiro na red card walishindwa kumaliza ugomvi wao?
Poapoa mdgo wangu.uache UCHOKO
Casemiro atakosa four straight games. Niliwaambia huyu jamaa ni mzito hio ligi haiwezi anafanya late tackles sababu timing yake mbovu
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Dangerous tackle Ile Mzee
Lakini kuhusu Red card ya Casemiro wataalamu mnipe elimu, kwani Casemiro si alianza kuucheza mpira ukateleza ndio akamkanyaga mchezaji? Kuna dhamira hapo au ni vile alivyoonyesha meno ya kiatu?