Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Huko Twitter mashabiki uchwara wanaosoma stats wanampamba ndiyo aletwe yeye.Siwaamini sana washambuliaji wanaotoka ligi ya serie A pindi wanapokuja premier league.
Kwa nini osimhen dhidi ya harry kane?
Ondoa hoja ya umri.
Osimhen anafanya robo ya anacho-offer Kane (kufunga magoli) halafu Osimhen ni typical no. 9 huyu hafai mfumo wetu kwa wingers za Rashford na Antony.
Wanaija pia ndiyo wanampamba kwasababu ni countryman tu. Kane bado ana misimu 3 au zaidi.
Strikers wengine Vlahovic na Ramos wao ndiyo sijui uchezaji wao kabisa.