Hata hivyo baada ya Red Card MAN U ndio wametulia kidogoNashangaa kwanini Mpaka saizi Southampton hawajatufunga kadi imetumaliza kabisa yani wachezaji kama wapo tayari kwa kufungwa.
Ten Hag anatakiwa afanye mabadiliko amtoe sanchiaweke Facundo
Basi, tunashinda hii gameNaona Ganacho na Facundo wanaingia
Sisi SOUTHAMPTON DRAW kwetu ni Ushindi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ila Bruno anakauzembe fulani