D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Tujiepushe na set pieces zinazoweza kuepukika.
Ward-Prowse...unaona tu mpira wavuni.Tujiepushe na set pieces zinazoweza kuepukika.
UmeniwahiNadhani ndo maana Fred
Heeeee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2960]1 PL in 8 years
1 UCL in 8 years
1 Fa Cup in 8 years
And Liverpool fans compare him to Sir Alex [emoji2377][emoji2377][emoji2377][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2546766
We kiazi muachie muarabu timuSir Jim Ratcliffe remains confident of securing the ownership of #MUFC despite a competing bid from Qatar.
#𝐖𝐚𝐚𝐜𝐡𝐞𝐧𝐢𝐖𝐀𝐖𝐈𝐋𝐈[emoji847]
#Times
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2547379
Ana umuhimu ukiona hivyo.View attachment 2547626Naona Ten Hag analazikisha kila njia ili tu Ghost acheze, mwisho wa siku atamchezesha kama golikipa
Martinez yellow..nakuhakikishia huwezi kucheza mpira wa maana kama Fred hayupo hapo katikati. Huwa anachafua sana.Ward-Prowse...unaona tu mpira wavuni.
Nadhani ndo maana Fred hajaanza..anatoaga cheap fouls maeneo ya hatari.
Ukiambiwa Sancho na Wegorst nani bora utasemaje?Hii mechi Ghost atatukost yani yeye ni kukimbiakimbia tu, ata akipewa pasi anapoteza
Ila Sancho kavumilia sana hapo man u nadhani sasa ni wakati wa kocha kumwamini na kumuakikishia namba kikosi cha kwanza
Kijana wa hovyo sanaNilikuwa namtetea Rashford..lakini leo amedhihirisha tena ni mchoyo sana.