Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jambo pekee lakuwariji msimu huu
FB_IMG_16784353916877721.jpg
 
Nyie KENGE najua bado MSHONO wenu wa SABA haujakauka,leo vijana kutoka Spain lazima WAUTONESHE Damu zitoke tena KENGE nyinyi,mnakojolewaje MIKOJO Saba ambayo hata MACHANGU wa KIMBOKA hawawezi kuvumilia??KENGE sana nyie
Shangingi umesikika.
 
Yani ni noma, hapa Man U toka asajiliwe ameshafunga goli 1 tu, na kila mechi amecheza.
Na kuna watu humu wanajaribu kutudanganya kua jamaa ni mzuri, utadhani mpira ni mchezo wa siri.
Kwanza me namuombea aumie ili nisimuone tu.
 
Manchester United have scored 2+ goals in 15 consecutive home matches for the fourth time in their history, and for the first time since March-October 2000. [opta]

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230310_143710_246.jpg
 
Back
Top Bottom