Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

How #mufc would fund a move for a goalkeeper as well is unclear, particularly as Ten Hag also wants to strengthen the full-back position. [
@TelegraphDucker
]
Mie binafsi napenda tuendelee na De Gea kwa msimu unaofuata kwanza ili tuwekeze nguvu kwa mshambuliaji daraja la kwanza na kiungo kijana aina ya Eriksen. Kumtegemea Fred na Marcus kama starter kwenye kiungo na ushambuliaji itatugharimu muda sio mrefu.
Fred inconsistency wakati Rashford hatujui kama hii form yake itadumu misimu miwili ijayo. Mbaya zaidi anacheza kwa kufukuzia rekodi binafsi (kwa msukumo wa media za Uingereza ) kitu kinachosababisha awe mchoyo kwa wenzie wenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga.
 
Ten Hag: "Did I expect [Weghorst to play so much]?
I expected that he'd play a lot but obviously we have an injury with Anthony Martial, so that's the main reason he's playing every game from start to almost finish."
[@BeanymanSports]
Anthony Martial ndani ya miaka miwili ameanza michezo 15 ukilinganisha na Wout Weghorst aliyeanza michezo 15 ndani miezi miwili. Huyu dogo naona kama anatulocha hafai kuendelea kuvaa uzi wa United. At 27 anakuwa kama mzee wa miaka 35 anaonekana mara moja moja uwanjani.

Pia, swala la David Degea binafsi namuheshimu sana na namkubali ila kwa mfumo wa mpira wa kisasa hasa hasa makocha kama Ten Hag wanao-prefer timu kucheza kutoka nyuma naona kabisa akienda kujutia maamuzi ya kumpa mkataba mpya unless tusiwe na pesa ya kuwekeza kwa golikipa mpya. (Huwezi kumfundisha mbwa mzee mbinu mpya)
 
Mie binafsi napenda tuendelee na De Gea kwa msimu unaofuata kwanza ili tuwekeze nguvu kwa mshambuliaji daraja la kwanza na kiungo kijana aina ya Eriksen. Kumtegemea Fred na Marcus kama starter kwenye kiungo na ushambuliaji itatugharimu muda sio mrefu.
Fred inconsistency wakati Rashford hatujui kama hii form yake itadumu misimu miwili ijayo. Mbaya zaidi anacheza kwa kufukuzia rekodi binafsi (kwa msukumo wa media za Uingereza ) kitu kinachosababisha awe mchoyo kwa wenzie wenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga.
Degea for longterm sio mtu sahihi bado sana kuna mapungufu mengi sana ya kiufundi pale golini ukiondoa silaha yake kubwa ya shots stopping.
 
Matatizo makuubya Man U mbele ni mawili ..

1.Umaliziaji mbovu .Mechi nyingi hata tukizo shinda mfululizo karibia kila mechi lazima kuwe na clear chances nyingi tunazokosa hata mechi na liver tulianza kwa kukosa magoli ya wazi wakati wenzetu ontarget 4 zilikuwa goli 4.

2.Uchoyo na Ubinafsi.Rashford ,Bruno ,Antony na Garnacho hawa mara nyingi ni vigumu kuangalia wenzao wanapokuwa ndani ya 18 ,nimecheki highlights mechi ya Bayern na Psg kuna Goli moja jamaa yupo karibu kabisa na kipa ila kamuangalia mwenzake aliyekuwa hajakabwa kabisa nakushinda kiulaini nikavuta picha Man U kwenye situation zile ni nadra sana kukuta mtu anatoa assist akiwa ndani ya 18 mara nyingi atajaribu kupiga tu.
Sure na mimi niliona ile assist ya Goretzka alimpa Choup Moting nkakumbuka na Anthony aliochop wakati pembeni kuna Rashford,Mzimu na Fred wapo wanaliangalia goli kabisa
 
#mufc are in talks with David de Gea about extending his contract on reduced terms but the club are actively scouting for goalkeepers including David Raya and Diogo Costa.
[@TelegraphDucker]
David Raya ni cheaper option ukimlinganisha na Diogo Costa huyu alisaini mkataba mpya juzi juzi wenye release clause ya Pound 60M.

David Raya yeye yupo kwa gharama ya Pound 20M mkataba wake unaisha mwakani na amegoma kusaini mkataba mpya mara mbili.
 
Anthony Martial ndani ya miaka miwili ameanza michezo 15 ukilinganisha na Wout Weghorst aliyeanza michezo 15 ndani miezi miwili. Huyu dogo naona kama anatulocha hafai kuendelea kuvaa uzi wa United. At 27 anakuwa kama mzee wa miaka 35 anaonekana mara moja moja uwanjani.

Pia, swala la David Degea binafsi namuheshimu sana na namkubali ila kwa mfumo wa mpira wa kisasa hasa hasa makocha kama Ten Hag wanao-prefer timu kucheza kutoka nyuma naona kabisa akienda kujutia maamuzi ya kumpa mkataba mpya unless tusiwe na pesa ya kuwekeza kwa golikipa mpya. (Huwezi kumfundisha mbwa mzee mbinu mpya)
Kwa msimu ujao tunahitaji RB,CB,CM na striker mmoja. Kwa mtizamo wangu hizo nafasi zinahitaji tiba ya haraka kuliko nafasi ya goli kipa ili msimu ujao twende sawa na wenzetu. Kwa huu wingi wa mahitaji na ufinyu wa bajeti ndio maana De Gea anavumilika sana kulinganisha na nafasi nyingine.
Hiyo ndio point yangu mkuu.
 
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa Facundo tangu namuona kwa mara ya kwanza akicheza. Lakini nikiri wazi kuwa uelewa wangu kwenye masuala ya mpira kiufundi ni mdogo kulinganisha na hawa mabosi ambao huyu dogo amecheza chini yao ndio maana hakuwa akipata nafasi mbele ya Elanga,Anthony pamoja na Sancho. Lakini bado kuna kitu kinaniaminisha huyu dogo ni mzuri kiuchezaji kulinganisha na Elanga pamoja na Anhtony (wakati flani) ila niko tayari kukosolewa kwenye hili.

Uchezaji wa Facundo kama winga ni tofauti kabisa na Elanga pamoja na Anthony.
 
Yes. Nipo na wewe Jombaa, mimi nimezungumzia kwa mipango ya muda mrefu.
 
Darren fletcher kumbe bado yupo, siku hizi simuoni kwenye benchi...

Chief-Mkwawa Huyu bwana fletcher majukumu yake yapoje kwa sasa.
Sizungumzii cheo chake
View attachment 2544671
Toka mwanzo mkuu alikuwa ni kuunganisha benchi la Ufundi na wavaa suti kina Arnold, Woodward etc.

Kwa Maneno yake mwenyewe
1. Kuhakikisha Timu ya watoto wachezaji wapo tayari kucheza na wakubwa kina Mainoo, Garnacho, Iqbal na wengineo path zao zinaandaliwa na Fletcher

2.Anahusika kwenye Usajili

3. Anahusika kutatua matatizo ya Kocha, sehemu ambako benchi la ufundi linamiss na kuwaconvice hao wavaa suti kusolve.

Mfano moja ya kazi Nzuri ya Fletcher ni Eric Ramsay, na alielezea kwenye Interview wakati wa Ragnick

Fletcher added: “People only give the one narrative about scoring from set-pieces. The biggest reason Eric was brought in was because we were conceding too many goals from set-pieces.

“We have really improved our defending from set-pieces and wide free-kicks this season. Eric is a fantastic coach.”

United conceded 14 set-piece goals in the Premier League last season (0.37 per game). This season, it’s five in 27 (0.19 per game)

Kama unakumbuka Tulikuwa tunafungwa sana magoli ya Mipira iliokufa akaja Ramsay na Fletcher alikuwa ana Clarify role ya huyo jamaa, kwamba mwanzo alikuwa tasked na kazi ya kudefense na mpaka leo Ramsay mambo yake tunayaona.
 
Video: The butcher.
 
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa Facundo tangu namuona kwa mara ya kwanza akicheza. Lakini nikiri wazi kuwa uelewa wangu kwenye masuala ya mpira kiufundi ni mdogo kulinganisha na hawa mabosi ambao huyu dogo amecheza chini yao ndio maana hakuwa akipata nafasi mbele ya Elanga,Anthony pamoja na Sancho. Lakini bado kuna kitu kinaniaminisha huyu dogo ni mzuri kiuchezaji kulinganisha na Elanga pamoja na Anhtony (wakati flani) ila niko tayari kukosolewa kwenye hili.

Uchezaji wa Facundo kama winga ni tofauti kabisa na Elanga pamoja na Anthony.
Ten Hag toka amefika alikuwa ktk pressure ya kupata matokeo sio rahisi kuanza kujaribu jaribu wachezaji hovyo hovyo ila binafsi naamini atakuja kupata nafasi na atakuwa moja ya wachezaji muhimu kikosini ana-potential kubwa sana.
 
1678466017113.png
 
BREAKING!
Ten Hag confirms Christrian Eriksen's rehab is going according to plan and he will feature for #MUFC again this season, but not before the international break.

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230310_192414_708.jpg
 
Back
Top Bottom