FodiVideo : Rashford goal Vs Real Betis.View attachment 2543656

Camavinga kwa hela yote hio tutafute tu option nyingine, kwangu mimi bora tukamchukue yule Ambrabat.Manchester United wako tayari kutoa euro 130m (£115m) kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa Eduardo Camavinga, 20, kutoka Real Madrid. (Fichajes – in Spanish)
Mshambulizi wa Tottenham na England Harry Kane, 29, yuko kwenye orodha ya usajili ya meneja wa Manchester United Erik ten Hag, kama ilivyo kwa kiungo mshambuliaji wa Ghana Mohammed Kudus, 22 kutoka klabu ya zamani ya Mholanzi huyo Ajax. (TalkSport)
Lakini United watataka kuwauza wachezaji kadhaa wa kikosi cha kwanza, akiwemo beki wa Uingereza Harry Maguire, 30, ili kutoa nafasi kwa wachezaji wapya msimu huu wa joto. (ESPN)
Haaahaa tabia za mashabiki wengine ni kama za wanasiasa hua wanaenda na upepo.Mkuu ulisema huyu dogo tumepigwa lakini![]()
Mdomo huoHii tulikuwa tunalipa zile 7 mapema tu.
ten Hag apunguze mahaba, Pellistri anacheza direct football hapindishi. Pia siyo winger mbinafsi.
Walete The Saints, napiga tena 9.
Nadhani msimu ujao striking department inatakiwa isukwe upya.Pamoja na ushindi ila kwenye umaliziaji forward zetu zinapoteza nafasi nyingi sana za wazi, hii game kungekua na umakini kwenye ufungaji hawa waspaniola wangekula hata goli 10+
Pamoja na ushindi ila kwenye umaliziaji forward zetu zinapoteza nafasi nyingi sana za wazi, hii game kungekua na umakini kwenye ufungaji hawa waspaniola wangekula hata goli 10+
PBruno Fernandes’ game by numbers vs. Real Betis:
95 touches
54 passes completed
5 ground duels won
5 key passes
3 crosses completed
2/2 dribbles completed
2 big chances created
1 goal
1 assist
Player of the match.
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2543711
Kwani tumemsajili? Si tumekopa tuTumepigwa
Natumai benchi la ufundi wawe makini na mambo ya msingi kama haya timu izidi kufikia matarajio mazuri.Matatizo makuubya Man U mbele ni mawili ..
1.Umaliziaji mbovu .Mechi nyingi hata tukizo shinda mfululizo karibia kila mechi lazima kuwe na clear chances nyingi tunazokosa hata mechi na liver tulianza kwa kukosa magoli ya wazi wakati wenzetu ontarget 4 zilikuwa goli 4.
2.Uchoyo na Ubinafsi.Rashford ,Bruno ,Antony na Garnacho hawa mara nyingi ni vigumu kuangalia wenzao wanapokuwa ndani ya 18 ,nimecheki highlights mechi ya Bayern na Psg kuna Goli moja jamaa yupo karibu kabisa na kipa ila kamuangalia mwenzake aliyekuwa hajakabwa kabisa nakushinda kiulaini nikavuta picha Man U kwenye situation zile ni nadra sana kukuta mtu anatoa assist akiwa ndani ya 18 mara nyingi atajaribu kupiga tu.
Leo alarm ya asubuhi mliisikia au iliwapita?😂😂😂Ana uefa 4 na world cup 1, wewe kapuku hapo una pumb* tu
Halafu dogo huwa hadondoki dondoki hovyo kama madogo wengine..anakomaa vibaya mno.Hii tulikuwa tunalipa zile 7 mapema tu.
ten Hag apunguze mahaba, Pellistri anacheza direct football hapindishi. Pia siyo winger mbinafsi.
Walete The Saints, napiga tena 9.
Uchoyo ni tatizo kubwa sana pale UtdMatatizo makuubya Man U mbele ni mawili ..
1.Umaliziaji mbovu .Mechi nyingi hata tukizo shinda mfululizo karibia kila mechi lazima kuwe na clear chances nyingi tunazokosa hata mechi na liver tulianza kwa kukosa magoli ya wazi wakati wenzetu ontarget 4 zilikuwa goli 4.
2.Uchoyo na Ubinafsi.Rashford ,Bruno ,Antony na Garnacho hawa mara nyingi ni vigumu kuangalia wenzao wanapokuwa ndani ya 18 ,nimecheki highlights mechi ya Bayern na Psg kuna Goli moja jamaa yupo karibu kabisa na kipa ila kamuangalia mwenzake aliyekuwa hajakabwa kabisa nakushinda kiulaini nikavuta picha Man U kwenye situation zile ni nadra sana kukuta mtu anatoa assist akiwa ndani ya 18 mara nyingi atajaribu kupiga tu.
None sense, huwezi kuwa na akili timamu ukahifadhi na kupost huu upuuzi kwenye simu yakoView attachment 2544016
Mmerudi sio??
Tuliaaa weweNone sense, huwezi kuwa na akili timamu ukahifadhi na kupost huu upuuzi kwenye simu yako