Matatizo makuubya Man U mbele ni mawili ..
1.Umaliziaji mbovu .Mechi nyingi hata tukizo shinda mfululizo karibia kila mechi lazima kuwe na clear chances nyingi tunazokosa hata mechi na liver tulianza kwa kukosa magoli ya wazi wakati wenzetu ontarget 4 zilikuwa goli 4.
2.Uchoyo na Ubinafsi.Rashford ,Bruno ,Antony na Garnacho hawa mara nyingi ni vigumu kuangalia wenzao wanapokuwa ndani ya 18 ,nimecheki highlights mechi ya Bayern na Psg kuna Goli moja jamaa yupo karibu kabisa na kipa ila kamuangalia mwenzake aliyekuwa hajakabwa kabisa nakushinda kiulaini nikavuta picha Man U kwenye situation zile ni nadra sana kukuta mtu anatoa assist akiwa ndani ya 18 mara nyingi atajaribu kupiga tu.