Nyie shindeni mnavyoweza.Ft; Man U 3 vs 1 Real Betis
Varane ana miguu kama meza ya bar.Mnataka kufanya buildup kipa Degea mabeki kina Varane miguuni Kama wamefungwa mawe[emoji1787][emoji1787]
Ulitaka wafanye buildup na babaako?Mnataka kufanya buildup kipa Degea mabeki kina Varane miguuni Kama wamefungwa mawe[emoji1787][emoji1787]
Mkuu ulisema huyu dogo tumepigwa lakini[emoji12]Anthonyyyyyyy
Ana uefa 4 na world cup 1, wewe kapuku hapo una pumb* tuVarane ana miguu kama meza ya bar.
Hata upokeaji wake wa mpira, anapoteza sana. Kubwa hilo ulilosema hayupo aggressive, amekaa kiboss kama Martial.Rashford anazingua, anatakiwa aongoze kujituma