Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jambo pekee lakuwariji msimu huu
FB_IMG_16784353916877721.jpg
 
Nyie KENGE najua bado MSHONO wenu wa SABA haujakauka,leo vijana kutoka Spain lazima WAUTONESHE Damu zitoke tena KENGE nyinyi,mnakojolewaje MIKOJO Saba ambayo hata MACHANGU wa KIMBOKA hawawezi kuvumilia??[emoji867][emoji867]KENGE sana nyie
Shangingi umesikika.
 
Yani ni noma, hapa Man U toka asajiliwe ameshafunga goli 1 tu, na kila mechi amecheza.
Na kuna watu humu wanajaribu kutudanganya kua jamaa ni mzuri, utadhani mpira ni mchezo wa siri.
Kwanza me namuombea aumie ili nisimuone tu.
 
[emoji408] Manchester United have scored 2+ goals in 15 consecutive home matches for the fourth time in their history, and for the first time since March-October 2000. [opta]

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
IMG_20230310_143710_246.jpg
 
Back
Top Bottom