Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

CE21C2BB-6A31-4232-8F8C-D437D33522CC.jpeg

😂😂😂😂hatupoii..
 
Manchester United wako tayari kutoa euro 130m (£115m) kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa Eduardo Camavinga, 20, kutoka Real Madrid. (Fichajes – in Spanish)
Mshambulizi wa Tottenham na England Harry Kane, 29, yuko kwenye orodha ya usajili ya meneja wa Manchester United Erik ten Hag, kama ilivyo kwa kiungo mshambuliaji wa Ghana Mohammed Kudus, 22 kutoka klabu ya zamani ya Mholanzi huyo Ajax. (TalkSport)
Lakini United watataka kuwauza wachezaji kadhaa wa kikosi cha kwanza, akiwemo beki wa Uingereza Harry Maguire, 30, ili kutoa nafasi kwa wachezaji wapya msimu huu wa joto. (ESPN)
Kane hapana wamchukue kudura au Athuman wa napol
Huyo Eduad ni beki sio kiungo
 
Unajua Kwanini bado una post kwasababu Man U ni kubwa kuliko timu yako ipo hivyo siku zote timu ndogo ikifunga timu kubwa upiga kelele kwa Muda mrefu maana hayo maisha hawajazoea Madrid kawakanda Liverpool goli 5 wala avimbi popote.
Sawa timu kubwa.. pamoja na kusema hivyo mimi nitaendelea kupost tu 😂

Kumbe inauma nikiweka ubao wa magoli eeh?😀
IMG_20230305_224349_952.jpg
 
Unajua Kwanini bado una post kwasababu Man U ni kubwa kuliko timu yako ipo hivyo siku zote timu ndogo ikifunga timu kubwa upiga kelele kwa Muda mrefu maana hayo maisha hawajazoea Madrid kawakanda Liverpool goli 5 wala avimbi popote.
Hao mashabiki wa Madrid humu Jf unajua wako wangapi au unasema tu.

Halafu usifananishe goli 5 na goli 7 mkuu (hasa ikiwa 7-0)😁.. saba nyingi nyie, acheni masiala!😂
 
Juzi kati niliangalia mechi kati ya Real Madrid v/s Real beatis ambapo matokeo ilikuwa 1-1 kiukweli ilikuwa bonge moja la mechi, Man U wasipojikaza naziona 7 zingine zikitaradadi
Acha vitisho🤣🤣🤣 La liga is not Europa
 
Ten Hag: "I see 'The Butcher' in a positive way. Not in a negative way. His playing [style is] tough but not unfair. I think he is, especially, he's a defender, and he is defending in a good way – on the ball because it is [about] positioning, anticipation and co-operation."

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230309_192328_394.jpg
 
Paul Pogba has not been called up for Europa League game vs Freiburg due to disciplinary reasons #UEL

No new injuries — but Pogba arrived late yesterday evening and he won’t be part of Juventus list.
 
Eddie Howe is a fan of Scott Mctominay but so far Newcastle have been put off making any appraoach due to #MUFC's valuation of £40 MILLION +.

#ESPN
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
 
Back
Top Bottom