Itakua kocha ana mipango nae, sema anataka amtambulishe mdogo mdogo bila presha yoyote.Nilishasema humu..huyu Pellistri ana akili nzuri kuliko madogo wote tulionao.
Sema ndo hivyo hapewi nafasi.
Unapoteza muda na mpumbavu brother acha hizo mambo bana!Unajaza sever tu, hayo matokeo kila mtu anayajua na umeshapost as kibwagizo lakini bado Unapost tu. Kuwa mstaharabu
FodiVideo : Rashford goal Vs Real Betis.View attachment 2543656
Camavinga kwa hela yote hio tutafute tu option nyingine, kwangu mimi bora tukamchukue yule Ambrabat.Manchester United wako tayari kutoa euro 130m (£115m) kumsajili kiungo wa kati wa Ufaransa Eduardo Camavinga, 20, kutoka Real Madrid. (Fichajes – in Spanish)
Mshambulizi wa Tottenham na England Harry Kane, 29, yuko kwenye orodha ya usajili ya meneja wa Manchester United Erik ten Hag, kama ilivyo kwa kiungo mshambuliaji wa Ghana Mohammed Kudus, 22 kutoka klabu ya zamani ya Mholanzi huyo Ajax. (TalkSport)
Lakini United watataka kuwauza wachezaji kadhaa wa kikosi cha kwanza, akiwemo beki wa Uingereza Harry Maguire, 30, ili kutoa nafasi kwa wachezaji wapya msimu huu wa joto. (ESPN)
Haaahaa tabia za mashabiki wengine ni kama za wanasiasa hua wanaenda na upepo.Mkuu ulisema huyu dogo tumepigwa lakini[emoji12]