Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,412
- 1,928
Rashford anazingua, anatakiwa aongoze kujituma
Ana uefa 4 na world cup 1, wewe kapuku hapo una pumb* tuVarane ana miguu kama meza ya bar.
Hata upokeaji wake wa mpira, anapoteza sana. Kubwa hilo ulilosema hayupo aggressive, amekaa kiboss kama Martial.Rashford anazingua, anatakiwa aongoze kujituma
Bruno mapafu ya mbwa mzee wa assists![]()