Wewe sisi tulisha kupiga hizo,,kitambo hiko
7 up🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Feel like am dreaming.
Sasa ni zamu yetu kutembea kifua mbele wiki nzima kama mabao yetu 7 yanavyojielezaMmh basi una raha sana leotutakoma wiki nzima
![]()










Leo tunakesha hapaaHata Ihefu haiwezi pigwa bao saba kwa nunge![]()
Mbona matusi Boss.haituhusu,Pakiti Mbili zimekamilika,hata Kahaba wa Kimboka hawezi kuvumilia Goli 6,nyinyi ni MACHOKO tu kama MACHOKO wengine KENGE nyinyi![]()
Sasa ni zamu yetu kutembea kifua mbele wiki nzima kama mabao yetu 7 yanavyojieleza![]()
Unaongea nini?Imeshaingia kwenye rekodi hio 😂😂😂😂😂,haitakaa ifutikeDAIMA MIMI MANCHESTER UNITED HATA TUFUNGWE 100.
naamini tutarudi tena tukiwa imara zaidi.
NYIE LOOSERFOOL HAMJAIFUNGA MAN UTD ISIPOKUWA MUMEUFUNGA UCHOVU.
#GGMU
Na uzi wenu utapamba moto,klopp atapumzika madongo kwa muda wa kutosha![]()
Pole mkuu, mi najaribu kula hapa msosi haupandi.