Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,020
- 28,069
Kaa hapahapa mpaka dk 90 ziishe.Kiko wapi nyie mnaotembea na kanga moja
Liverpool hashindi hii mechi.
Kaa hapahapa mpaka dk 90 ziishe.Kiko wapi nyie mnaotembea na kanga moja
Hata mimi sijamuelewa kabisa.Dalot si chaguo sahihi.
Mpira umeisha huko?Hili litimu si la kuliamini hovyo.Linashindwa na Liver
Antony anacheza sana mpira wa kitoto sanaEtH toa Weghorst weka Garnacho, Rashford kaa katikati.
Halafu Antony anatufelisha sana kwenye counter hatoi pasi mapema. Pia wakati tunashambulia Rashford hatakiwi kupewa pasi, Antony aliharibu shambulizi moja kwa kumpa pasi Rashy.
North-West Derby ukiwa Anfield siyo mechi ya kitoto, vijana wajikaze.
Hapana goli 1 huwa halina dhamana kabisa maana come back huwa si ndoto kwa Man Utd ila timu zote zimecheza mpira mzuri sana isipokuwa kama vile Liverpool wana bahati.Hili litimu si la kuliamini hovyo.Linashindwa na Liver
Umechukua kombe gani msimu huu?Ukinikuta kwenye uzi wowote nashabikia mpira wa Bongo nitag.
Ikitokea kwamba unahitaji game plan ya kupaki basi wewe bado ni midtable tu.
Katikati Rashford naona leo hayuko vizuri bora akae kushoto tu.EtH toa Weghorst weka Garnacho, Rashford kaa katikati.
Halafu Antony anatufelisha sana kwenye counter hatoi pasi mapema. Pia wakati tunashambulia Rashford hatakiwi kupewa pasi, Antony aliharibu shambulizi moja kwa kumpa pasi Rashy.
North-West Derby ukiwa Anfield siyo mechi ya kitoto, vijana wajikaze.
Niite mbwa niko kule[emoji16]Man utd mkifanya mabadiliko kidogo tu basi mnashinda goli nyingi hii game nI nyie tu
Mlimununua wa nini?Nilipomuona tu Dalot nikasema kazi ipo.
Offensive zero.
Defensive zero.
Unaona ulivyo mjinga lakini? Hapa jf kuna mtu aliyemnunua Dalot?Mlimununua wa nini?
Usiondoke hapa.Man u huwa anabebwa na magoli ya offside tu.....hata ile 2-1 ilikuwa ni offside ya rashford ....Leo hakuna pa kutokea ....