ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,684
- 24,704
Argentina hawawezi msahau chupuchupu ile gameWout Weghorst Defensive Striker [emoji2956]View attachment 2531960
[emoji1421]š¤[emoji3590]
Argentina hawawezi msahau chupuchupu ile gameWout Weghorst Defensive Striker [emoji2956]View attachment 2531960
[emoji1421]š¤[emoji3590]
Jamaa ukiacha hizo kazi zingine tunazotaka kumpa za kushambulia kazi yake ya kukaba sijawahi kuwa na mashaka nayo na jana mapema nilisema max msumbufu atamsumbua Dalot sana. Alivyoingia bissaka akatulizwa.
Vyote viwili, hizo ni sifa mbili muhimu.Kwa sasa fans tumeanza kujadili mipango ya usajili msimu ujao ila katika wote sijasikia mtu akiongelea nafasi ya goal keeper. Wakati msimu unaanza wengi tuliona De Gea ni tatizo kwa kuangalia falsafa za uanzishaji mashambulizi za EtH. Sasa tukubaliane moja,tunahitaji shot stopper (Dave) au ball playing Golie(tusajili)?
Kuna Jamaa anaitwa Jose Maryoga, nafikiri ndio head wa recruitiment( Chief Scout) kwa sasa.Man united haina Recruiting department walishafukuzwa mbona, Eth ndio yupo responsible kwenye usajili plus Arnold na Murtough, kuna kipindi walimchukua kwa Muda kaka yake Will Keane naye pia ameshaondolewa.
Ingekua wapo kina Woodward na Timu yake Antony asingesajiliwa.
Mimi naona tunahitaji no 8, wakuanza( labda huyo ndio unaita kiungo mshambuliaji).Ndio, Bruno ni no 10, creativity tunamtegemea yeye tu toka Eriksen aumie. Sasa hivi Fred/Sabitzer ndio wanacheza 8 ambao wote wapo limited suala zima la utengenezaji nafasi.
Kipa anavyozeeka ndo anazidi kuwa mahiri.Tutasajili wengi sana hapo golini lakini guts za kutaka De Gea awe benchi hatujawahi kuwa nazo.
Mayorga sio Chief Scout wetu mkuu, ni katika Scout wakubwa, wapo kama 30 hivi kwenye mamia ya Scout ambao wanafanya kazi chini ya Murtough na Fletcher huyo Mayorga ni mmoja wao.Kuna Jamaa anaitwa Jose Maryoga, nafikiri ndio head wa recruitiment( Chief Scout) kwa sasa.
Huyu jama ameanza kazi baada ya Summer window.
Alikuwa head scout kwa upande wa South America region.
Ndiye alimrecommend Caicedo. Hata Enzo Fernandez Pia.
Dah, mwanangu unamkosea heshima yake mwanaAWB yuko vizuri kwenye kukaba ila hana akili ya mpira ,ni mtu wa kupoteza mipira sana kwenye gemu nyingi tu utulivu hana kabisa.
Kwangu mm Hapana aisee,Man U hawakumpa muda,
Lakini hakuwa kocha mbovu.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Nadhani tunahitaji beki wa kulia atakayetoa changamoto kwa Bisaka na Dolot coz hawa jamaa wamekuwa hawana consistence. Pia tunahitaji kiungo mkabaji mwingine mwenye karba ya Casemiro. Kuhusu beki wa kati hapo hamna shaka coz Shaw pia anaweza kutumikia eneo hilo endapo kutakuwa na mahitaji.Eneo lipi la kufanyia usajili mzuri ukiondoa striker ?
šššhere we go...Manchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Manchester United 2 vs Newcastle 0
[emoji355]Time
1.30
[emoji2522]Stadium
Wembley
Last match
Manchester United 0 vs Newcastle 0
Sasa wewe wa betie Newcastle hafu tuone kama hayo magoli utawafungia wewe.
GGMU [emoji83][emoji83][emoji83]View attachment 2530621
Hata mimi hapana yule mzee hapana aisee. Van Gal na Moyes hapana aisee wale wazee walitaka kuniuwa na pressure. Kwanza yaliuza wachezaji wetu wazuri.Kwangu mm Hapana aisee,
sema kwa hichi kikosi atakaba sanaaašTumelud tumeludššŖView attachment 2532220
Carabao Cup, please add.View attachment 823085Manchester United Trophies:
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com
View attachment 823091
Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m
View attachment 827629
Co-Chairmen (Owners): Joel na Avram Glazer
View attachment 2262793
Manager: Erik ten Hag
League Tittles: 20
First Division/Premier League Champions: 20 (1907/08, 1910/11, 1951/52, 1955/56, 1956/57, 1964/65, 1966/67, 1992/93, 1993/94, 1995/96, 1996ā97, 1998/99, 1999/2000, 2000/01, 2002/03, 2006/07, 2007/08, 2008/09, 2010/11, 2012/13)
European Trophies: 6
UEFA Champions League: 3 (1967/68, 1998/99, 2007/08)
UEFA Europa League: 1 (2016/17)
UEFA Super Cup: 1 (1991)
UEFA Cup Winners': 1 (1990/91)
FA Cup Trophies: 12 (1908/09, 1947/48, 1962/63, 1976/77, 1982/83, 1984/85, 1989/90, 1993/94, 1995/96, 1998/99, 2003/04, 2015/16)
League Cup: 5 (1991/92, 2005/06, 2008/09, 2009/10, 2016/17)
Community Shield: 21
FA Charity Cup/FA Community Shield: (1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965, 1967, 1977, 1983, 1990, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013, 2016)
Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1935/36, 1974/75)
Intercontinental Cup: 1 (1999)
FIFA Club World Cup: 1 (2008)
View attachment 827615
Manchester United Trophies' Cabinet
View attachment 514134
Manchester United Football Club celebrate as they Crowned Europa League Winners(2016/17)
View attachment 2262788
Manchester United Premier League fixtures for 2022/23
Follow this thread for team updates!
Kwawani RASHFORD na Mbappe wakifunga goli , dushe zao huwa zinadisa?View attachment 823085Manchester United Trophies:

Me napenda kumuita "Tolo" š¤£š¤£š¤£Bora Tuwe Na Weghorst, Binafsi Namkubali Jamaa Anajitoa Sana Kwenye Kukaba Tunaposhambuliwaā¦.Weghorst Ndio Maana Ya āStriker Kama Kufunga Umeshindwa Basi Zuiaā