Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,042
- 53,947
WBS ndy mchezaji mwenye blocks na tackles nyingi Sana kwenye back line yetu.
Dalot anashambulia Zaidi lakini ni mchovu kwenye kuzuia.
Kwangu Mimi WBS ni bora kuliko Dalot sababu Kazi ya beck ni kuzuia na sio kushambulia.,,
Huyo ndy spider man Aron Bisaka
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Probably hayo yalikuwa majukumu ya beki miaka hiyo but modern football ina demand beki ku assist build up au mashambulizi inapobidi.