VVD beki inakabia matako, kubwa jinga lile [emoji1787][emoji1787]Mkome kumfananisha vvd na huyo The butcher wenu ambaye licha ya kubeba world cup kawekwa nje na vvd Rolls-Royce Defender. View attachment 2532270
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo tumekubaliana kua CF siku hizi kazi zao ni kukaba?Timu inayocheza kitimu zaidi utafungwa na yeyote sio lazima striker.,sababu wanashambulia kwa pamoja na kulinda kwa pamoja,
Striker jukumu lake ni kufunga lakini timu ikiwa haina wapishi wa kutosha kumlisha mipira/timu ikiwa inashambuliwa yabidi arudi kwenye kuzuia na kutafuta chances za kufunga .
Man U bado timu haina wapishi wazuri wa kufanya weghorst arelax asuburi nafasi.
Ni lazima atafute chances na afanye defending pia.
Jamaa yupo vzr sn,na wanaombeza Kwa sasa, Kuna siku watatamani arudi uwanjani.
Jamaa yupo vzr sn
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Butcher hakua first eleven ya argentina kombe la duniaMkome kumfananisha vvd na huyo The butcher wenu ambaye licha ya kubeba world cup kawekwa nje na vvd Rolls-Royce Defender. View attachment 2532270
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Lakini mbona kocha alimtoa mapema sana kwenye hiyo mechi na Newcastle?Inategemea na formation ya timu husika.
Zipo timu ambazo zinategemea back wings ziwe zinapanda na kuwa kama wings,
Na zipo timu ambazo back wa pembeni Kazi yake ni kukaba tu.
Hapewi jukumu la kupandisha timu.
Na zipo timu ambazo zinatumia wings kama striker lakini sio natural striker,
Mfano rashfod, martial,Sancho hawa ni wings na sio strikers.
Weghorst ni natural striker,lakini amepewa jukumu la kukaba juu,,na kuvuruga mipango ya wapinzani.
Akiacha space kwa wings kuingia ndani na kufunga.
Siku atakayokaa banch weghorst na kuweka martial kama striker ndy siku utanielewa vzr.
Man U kwa sasa haina quality Sana ya wachezaji,,
Timu haijabalance,,,uwepo wa weghorst ni kuunganisha balance ya Attacking midefilder na Defensive medifilder.
Still viungo vyetu vipo weak Sana kwa sasa.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]David Moyes. Mechi yake ya kwanza akiwa kocha wa manyumbu alibeba kombe. Lakini hakumaliza msimu [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
WBS ndy mchezaji mwenye blocks na tackles nyingi Sana kwenye back line yetu.Tunafanye na huu mjadala kuhusu rightback wetu. Ni dhahiri EtH atasajili beki wa pembeni kulia mwenye ubora zaidI ya waliopo kwa sasa yaan Dalot na AWB. Sote tunajua mapungufu ya Dalot ni ukabaji wakati AWB ni kupandisha timu na kumwaga krosi. Lazima mmoja wao abaki awe kama back up ya atakayesajiliwa.
Ingawa tetesi nyingi zinamhusu AWB kuondoka na Dalot kuboreshewa mkataba wake,mimi mawazo yangu yanaona vinginevqyo baada ya performance ya AWB baada ya WC. Kwamba aondoke Dalot halafu AWB abaki kuwa back up. Hii ni kutokana na ukweli kwamba wakati mwingi tunakutana na winga wasumbufu sana ambao bila ya uwepo wa AWB inakuwa ngumu kuwazuia bila msaada wa midfilder wa kulia,winger wa kulia au beki wa kati kulia kitu ambacho kinaathiri equilibrium ya timu kiumuundo wa ulinzi na ushambuliaji.
Wadau nini maoni yenu kwenye hili.
N.B. Hili jukwaa sasa limekuwa huru kwa ajili ya mashabiki wa man utd pekee baada ya ujio wa EtH na ubora wa timu ukijumlisha na ukweli kwamba man utd ndio timu pekee iko kwenye mashindano yote msimu huu.
Dalot hata krosi zake bado sijazielewa..ukiacha ile aliyompigia Rashford sikumbuki nyingine..huwa anapaisha afadhali hata AWB..Tunafanye na huu mjadala kuhusu rightback wetu. Ni dhahiri EtH atasajili beki wa pembeni kulia mwenye ubora zaidI ya waliopo kwa sasa yaan Dalot na AWB. Sote tunajua mapungufu ya Dalot ni ukabaji wakati AWB ni kupandisha timu na kumwaga krosi. Lazima mmoja wao abaki awe kama back up ya atakayesajiliwa.
Ingawa tetesi nyingi zinamhusu AWB kuondoka na Dalot kuboreshewa mkataba wake,mimi mawazo yangu yanaona vinginevqyo baada ya performance ya AWB baada ya WC. Kwamba aondoke Dalot halafu AWB abaki kuwa back up. Hii ni kutokana na ukweli kwamba wakati mwingi tunakutana na winga wasumbufu sana ambao bila ya uwepo wa AWB inakuwa ngumu kuwazuia bila msaada wa midfilder wa kulia,winger wa kulia au beki wa kati kulia kitu ambacho kinaathiri equilibrium ya timu kiumuundo wa ulinzi na ushambuliaji.
Wadau nini maoni yenu kwenye hili.
N.B. Hili jukwaa sasa limekuwa huru kwa ajili ya mashabiki wa man utd pekee baada ya ujio wa EtH na ubora wa timu ukijumlisha na ukweli kwamba man utd ndio timu pekee iko kwenye mashindano yote msimu huu.
Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho.[emoji471] May 22, 1999: United's no.10 and no.18 score in a cup final against Newcastle at Wembley.
[emoji471] February 26, 2023: United's no.10 and no.18...
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |
View attachment 2532908
Yaani kifupi kwa timu yetu ilivyo na mawinga hatari kwa sasa ambao wote wanauwezo wa kufunga Weghorst ndio Striker sahihi kabisa sababu anaenda kufanya majukumu ya ziada uwanjani huku majukumu ya kufunga akiwaachia mawinga na midfieders yaani ETH ni genius.Inategemea na formation ya timu husika.
Zipo timu ambazo zinategemea back wings ziwe zinapanda na kuwa kama wings,
Na zipo timu ambazo back wa pembeni Kazi yake ni kukaba tu.,
Hapewi jukumu la kupandisha timu.
Na zipo timu ambazo zinatumia wings kama striker lakini sio natural striker,
Mfano rashfod, martial,Sancho hawa ni wings na sio strikers.
Weghorst ni natural striker,lakini amepewa jukumu la kukaba juu,,na kuvuruga mipango ya wapinzani.
Akiacha space kwa wings kuingia ndani na kufunga.
Siku atakayowekwa bench weghorst na kuweka martial kama striker ndy siku utanielewa vzr.,
Man U kwa sasa haina quality nzuri Sana ya wachezaji,,
Timu haijabalance,,,uwepo wa weghorst ni kuunganisha balance ya Attacking midefilder na Defensive medifilder.
Still viungo vyetu vipo weak Sana kwa sasa.
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
Ndy jukumu alilonalo kwa sasa,,Yaani kifupi kwa timu yetu ilivyo na mawinga hatari kwa sasa ambao wote wanauwezo wa kufunga Weghorst ndio Striker sahihi kabisa sababu anaenda kufanya majukumu ya ziada uwanjani huku majukumu ya kufunga akiwaachuia mawinga na midfieders yaani ETH ni genius.